WAFANYE WATABASAMU WATEMBELEA WATOTO WA SOS CHILDREN'S VILLAGES
Mchora vibonzo na Mratibu wa Wafanye Watabasamu, Nathan Mpangala, akiongea na baadhi ya watoto wa Kituo cha SOS Children’s Villages cha Dar es Salaam wakati wa ziara ya mafunzo ya uchoraji katika kituo hiko, Juzi. Ziara hiyo iliyohusisha wachoraji na marafiki kadhaa ililenga kuibua vipaji na kuwatabasamisha watoto.
Mchora vibonzo Abdul King O ‘Kaboka Mchizi’, akitoa maelekezo ya jinsi ya ‘kutupia’ rangi kwa watoto wa SOS Children’s Villages, juzi.
Hili ndilo haswaaa lengo la Wafanye...
Michuzi