Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAGONJWA WA CORONA NCHINI KENYA WAFIKI 465


  Wizara ya afya nchini Kenya imethibitisha maambukizi mapya 30  ya virusi vya corona hii ni baada ya sampuli 883 kufanyiwa vipimo katika muda wa saa 24 na kufanya idadi ya walioambukizwa kufikia  465 .


Naibu waziri wa afya Dk Rashid Aman anasema kuwa  19 ni wagonjwa kutoka Mombasa, 8 jijini Nairobi wawili kaunti ya Bungoma na kimoja kaunti ya Kitui.
Watu wawili zaidi aidha wamefariki kaunti ya Mombasa  kutokana na virusi hivyo na kufikisha waliofariki nchini Kenya kuwa 24 na idha waliopona...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Mombasa yaandikisha wagonjwa wapya 19 huku idadi ikifikia 465 Kenya

Kenya imethibitisha wagonjwa 30 wapya hatua inayoongeza idadi ya visa vya ugonjwa huo nchini humo kufikia 465 kulingana na katibu wa kudumu katika wizara ya afya nchini humo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Idadi ya wagonjwa wa corona nchini Kenya yafikia 1,214 baada ya kutangazwa wagonjwa wapya 22

Wagonjwa 10 wanatoka katika mji wa Nairobi, 9 wanatoka Mombasa, Kwale , Nakuru na Taita taveta kukiwa na mgonjwa mmojammoja.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Watanzania 2 wazuiwa kuingia nchini Kenya huku idadi ya wagonjwa Kenya ikifikia 715

Raia wawili wa Tanzania wamezuiwa kuingia nchini Kenya katika mpaka wa Isibania baada ya kukutwa na virusi vya corona, kulingana na wizara ya afya nchini humo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Idadi ya wagonjwa Kenya yafikia 758, huku wagonjwa wengine 21 wakithibitishwa

Mipaka isiolindwa sasa imetajwa kuwa miongoni mwa maeneo hatari katika maambukizi ya virusi vya corona kulingana na naibu waziri wa Afya nchini Kenya Mercy Mwangangi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Mombasa yathibitisha wagonjwa 67 huku jumla ya wagonjwa ikifikia 2,474 kenya

Katibu wa Wizara ya Afya Mercy Mwangangi ametangaza Ijumaa kuwa idadi ya waliothibitishwa kuambukizwa ugonjwa wa Covid-19 nchini Kenya imeongezeka na kufikia 2,474.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Watu 15 wapona corona Kenya, wagonjwa wapya 11

Hii ni idadi kubwa zaidi ya watu kupona kwa siku nchini Kenya

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Idadi ya wagonjwa wa corona Kenya yafika 281

Idadi ya watu walioambukizwa virusi vya corona nchini Kenya imeongezeka hadi 281 baada ya visa vingine 11 kuthibitishwa Jumatatu.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Idadi ya Wagonjwa wa corona kenya yafikia 887

Idadi ya wagonjwa wa virusi vya corona nchini Kenya imeongezeka hadi kufikia 887 baada ya wagonjwa wengine 57 kukutwa na virusi hivyo katika kipindi cha saa 24.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Kenya yathibitisha wagonjwa wapya 16 wa corona

Kenya imethibitisha kuwa na wagonjwa 142 wa corona baada ya kufanya vipimo watu 530.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani