Wagonjwa wanalengwa Sudan kusini
MSF limeonya kwamba kazi zake zinasambaratishwa kutokana na kushambuliwa vituo vya afya ambapo wagonjwa na wahudumu wanalengwa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-OTfgCgzQ4cc/VMFF6IRr4AI/AAAAAAAArYg/Rem_av2t1hY/s72-c/sa.jpg)
MKATABA wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini cha Sudan People’s Liberation Movement (SPLM)
![](http://4.bp.blogspot.com/-OTfgCgzQ4cc/VMFF6IRr4AI/AAAAAAAArYg/Rem_av2t1hY/s1600/sa.jpg)
Mkataba huo unaojulikana kama Agreement on the Re-unification of Sudan People’s Liberation Movement umepongezwa kuwa ni hatua muhimu katika kulitoa taifa changa la Sudan Kusini katika hali...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-town7it9WZs/VMEjUisBRYI/AAAAAAAG_EM/U3NrHfhmslk/s72-c/s5.jpg)
Utiwaji saini mkataba wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini cha Sudan People’s Liberation Movement (SPLM)
![](http://3.bp.blogspot.com/-town7it9WZs/VMEjUisBRYI/AAAAAAAG_EM/U3NrHfhmslk/s1600/s5.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/CGWwFxEqLd7gX4643x-Hp-OMwOUHhjcXHzTlXRRH25e6Gw-*9qfgCq0jwFpkdb0KoTLoEpc6WbvawWFsPFes14X3E5u8bV23/sp4.jpg?width=750)
Utiwaji saini mkataba wa kujenga tena umoja na kukiunganisha upya Chama Tawala cha Sudan Kusini cha Sudan People’s Liberation Movement (SPLM) jijini Arusha
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia wakati Rais Salva
Kiir Mayardiy wa Sudan ya Kusini (kushoto) na Makamu wa Rais wa zamani
wa Sudan Dkt Riek Machar Teny (wa pili kulia) wakipeana mikono na
kubadilishana nyaraka baada ya kutia saini mkatana wa makubaliano ya
kukiunganisha upya chama cha SPLM cha Sudani Kusini katika hoteli ya…
...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-7bnKEG2ZHo4/VYc1Xt9kWaI/AAAAAAAHiPw/h4ZnTwVV4UY/s72-c/unnamed%2B%252857%2529.jpg)
maalim seif afariji wagonjwa na wafiwa katika Mkoa wa Kusini Unguja.
Na Hassan Hamad, OMKR. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amefanya ziara ya kuwatembelea na kuwafariji wagonjwa na wafiwa katika Mkoa wa Kusini Unguja. Katika ziara hiyo Maalim Seif amewaombea wagonjwa hao kuweza kupona haraka, ili waweze kuungana na wananchi wengine katika shughuli za kimaisha, sambamba na kuwataka wale waliofiwa kuwa na subra katika kipindi hiki kigumu cha msiba. Miongoni mwa vijiji alivyotembelea katika mkoa huo ni pamoja na Muyuni,...
11 years ago
BBCSwahili16 Jan
Maslahi ya UG, Sudan Kusini
Serikali ya Uganda imekiri kuwapeleka wanajeshi wake kusaidia wanajeshi wa Sudan kupambana na waasi wa Riek Machar
11 years ago
BBCSwahili26 Jun
Je Sudan Kusini imeporomoka?
Nchi changa zaidi duniani Sudan Kusini, imeorodheshwa kama nchi ya kwanza yenye hali tete zaidi duniani.
9 years ago
BBCSwahili26 Nov
Mzozo wa Sudan kusini
Viongozi wa pande zinazopingana Sudan, hawajaunda serikali ya mpito katika kipindi cha siku 90 kama ilivyokubaliwa mwezi wa 8.
9 years ago
BBCSwahili15 Dec
Sudan Kusini kukosa chakula
Mashirika ya misaada yametahadharisha upungufu mkubwa wa chakula Sudan Kusini.
11 years ago
BBCSwahili02 Jan
UN: Vita visitishwe Sudan Kusini
Mkuu wa vikosi vya kulinda amani vya UN, Sudan Kusini, ametoa wito wa kusitishwa kwa mapigano nchini humo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania