Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wajawazito na adha waipatayo kwa wauguzi

UDAKTARI, uuguzi na ukunga zinajulikana kama kazi za wito, hivyo kila anayezifanya lazima awe mkarimu na mpole kwa wagonjwa. Lakini siku zinavyozidi kwenda, sifa hizo zinazidi kutoweka. Inawezekana kutokana na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

JK AUNGANA NA WAUGUZI KUSHEREHEKEA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI JIJINI ARUSHA JANA

Baadhi ya Wauguzi wakila kiapo cha uaminifu na kutunza siri za wagonjwa wakati wa maadhimisho ya siku ya wauguzi duniani yaliyofanyika katika uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha jana
Baadhi ya wauguzi waliohudhuria sherehe za siku ya wauguzi duniani wakifuatilia kwa makini Hotuba ya mgeni rasmi Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mjini Arusha jana…
...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mavuno yageuka adha kwa wanawake Mbozi

YAWEZEKANA kipindi cha mavuno ya mazao kikawa cha furaha na faraja kwa familia hasa ikizingatiwa ni kipindi cha matunda ya kazi ngumu ya kilimo. Lakini kwa wanawake wa Mbozi, imekuwa...

 

9 years ago

Raia Tanzania

Adha ya usafiri kwa wanafunzi na mustakabali wetu

WAKATI mikakati mbalimbali ya kuongeza kiwango cha elimu kwa wanafunzi ikiendelea kufanyiwa kazi, bado kuna changamoto ya usafiri wa uhakika kwa wanafunzi haujaangaliwa kwa jicho la umakini.

Inawezekana likaonekana suala la kawaida kwa sababu limepigiwa kelele kwa muda mrefu, lakini mwanafunzi anahitaji kuwa na utulivu wa akili anapoamka na anaporudi nyumbani kutoka shule. Yote yanakamilika kwa kupata nyenzo nzuri ya kumpeleka shule asubuhi na kumrudisha nyumbani jioni. “Changamoto...

 

11 years ago

Mwananchi

Changamoto kwa wauguzi

Wauguzi na waganga wameshauriwa kujenga tabia ya huruma ikiwamo kuthamini, kuheshimu na kuwasaidia wazee pindi wanapokwenda katika vituo vya afya,zahanati na hospitali kupata matibabu.

 

11 years ago

Mtanzania

Wauguzi kizimbani kwa kuondoa dripu

Jiji la Mwanza

Jiji la Mwanza

NA JUDITH NYANGE, MWANZA.

WAUGUZI wawili wa Hospitali ya Wilaya ya Nyamagana wamepandishwa mahakamani kwa tuhuma za kuomba rushwa kwa wagonjwa pamoja na kuwaondolea mgonjwa matone maji ya dawa maarufu kama dripu.

Akiwasomea shtaka la kwanza mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahamaka ya Mkoa wa Mwanza,  Abeisiza Laurian, Wakili wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Lenin Njau alisema watuhumiwa Joyce Mongu na Marystela Winfred wote wakiwa wauguzi wa Hospitali ya Wilaya...

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yaonya wauguzi kwa lugha mbaya

SERIKALI imewataka wauguzi nchini kuacha kutoa lugha mbaya kwa wananchi. Badala yake, wametakiwa kuboresha utoaji wa huduma za afya na kuwa wepesi wa kusahihisha mapungufu ili kuhakikisha huduma sahihi zinatolewa.

 

11 years ago

Mwananchi

Kuzaliana kwa wingi huongeza vifo kwa wajawazito

Hivi karibuni dunia iliadhimisha Siku ya Utepe Mweupe na Uzazi Salama, ambayo iliambatana na kaulimbiu ya, ‘Wajibika Mama Aishi’.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani