Wajumbe wa Bunge watishiwa maisha
>Siku tatu kabla ya Bunge la Katiba kuanza kupigia kura Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, watu wasiojulikana wameanza kusambaza vitisho vya kuwatia hofu wajumbe wa Bunge hilo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Vijimambo.jpg)
Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba Watishiwa Maisha
.jpg)
Kunani Jamani Tanzania Tunaelekea Wapi?
11 years ago
Dewji Blog04 Sep
Wajumbe Kundi la 201 watoa tamko dhidi ya wanaolichafua Bunge Maalum la Katiba na Wajumbe wa kundi hilo
Askofu Amos Muhagachi akitoa tamko juu ya tuhuma mbalimbali dhidi ya kundi la 201 la wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba jana 03 Septemba, 2014 katika Ukumbi wa Spika, Mjini Dodoma.
Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.
WAWAKILISHI wa Taasisi za dini wa Bunge Maalum la Katiba toka wajumbe 201 wametoa tamko lao dhidi ya tuhuma mbalimbali zinazoendelea katika kulichafua Bunge hilo ikiwemo baadhi ya wajumbe wa kundi hilo wakituhumiwa kudaiwa kupewa rushwa.
Tamko hilo limetolewa jana 03 Septemba,...
11 years ago
Michuzi20 Feb
taswira mbalimbali za WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA



11 years ago
Michuzi.jpg)
Ofisi ya Bunge yatoa ufafanuzi kuhusu malipo ya posho za Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba
Ufafanuzi huo umetolewa leo na Mkurugenzi wa Habari na Itifaki Bw. Jossey Mwakasiyuka wakati alopokutana na waandishi wa habari kwa lengo la kutolea ufafanuzi kuhusiana na taarifa hizo zilizoikera ofisi hiyo ya Bunge Maalum.
Mwakasyuka amevieleza vyombo vya habari kuwa, ofisi ya Bunge Maalum imekerwa na...
11 years ago
Michuzi04 Sep
TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA
11 years ago
Tanzania Daima14 Feb
Wajumbe Bunge la Katiba wafundwa
MKUU wa Kitivo cha Sheria wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Ruaha cha mjini Iringa (RUCO), Dk. Mary Caroline Levira, amewataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kuwatendea haki wananchi kutokana...
11 years ago
Tanzania Daima28 Feb
Wajumbe Bunge la Katiba waonywa
MASHIRIKA na asasi zisizokuwa za kiserikali kutoka mikoa ya Mwanza na Geita, wamewaonya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, kuhakikisha wanajadili na kupitisha Katiba nzuri inayotakiwa na wananchi ili kuepusha...