WAKAAZI WA MTO WA MBU NA WAFANYAKAZI WA HIFADHI YA ZIWA MANYARA WASHIRIKI KUTUNZA MAZINGIRA
![](http://3.bp.blogspot.com/-osBuQmnptPE/U7hONfKPdJI/AAAAAAAFvNk/TR-7bfnex68/s72-c/unnamed+(44).jpg)
Wakaazi wa kata ya Mto wa Mbu waliwapongeza wafanyakazi hao kwa kujitolea na kuacha shughuli zao kwenda kuhimiza usafi wa mazingira ya mji wao huku wakiwataka wenzao kujali usafi wa mazingira ilikuepuka magonjwa ya milipuko Kwa upande wake kaimu mhifadhi wa hifadhi ya ziwa manyara Ibrahimu Yamola alisema kuwa wakazi hao ambao ni jirani na mbuga hiyo wnapaswa kuyajali mazingira wanamo ishi kwa kyaweka katika hali ya kuvutia kwani mji wao unapokea wageni mbalimbali kutoka mataifa mbalimbali...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima03 Jun
SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI: EAMCEF, JKT Ruvu wadhamiria kutunza Mto Ruvu
MAZINGIRA ni suala mtambuka, kila mtu kwa nafasi yake anatakiwa kuwajibika kuhakikisha dunia inakua mahali salama pa kuishi. Uwajibikaji wetu licha ya kutunza mazingira, naamini utaongeza pia siku za kuishi...
9 years ago
Dewji Blog10 Dec
Wafanyakazi TBL washiriki usafi wa mazingira Dar, Arusha na Mwanza
Wafanyakazi wa kiwanda Bia tawi la Arusha wakifanya usafi eneo la kituo kikuu cha mabasi jijini Arusha kuitikia wito wa Rais Dk John Magufuli kufanya usafi wakati wa maadhimisho ya ya Uhuru wa Tanganyika.
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Bia Tanzania wakishiriki zoezi la kufanya usafi katika maeneo ya Mchikichini Ilala jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya Uhuru ambapo kwa mwaka huu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.John Magufuli ameitangaza kuwa siku...
10 years ago
Daily News26 Dec
Mto wa Mbu cheat seasonal floods
Daily News
THE town of Mto wa Mbu that usually prone to serious flooding during November and December has th year escaped the calamity, despite the torrential rains that hit many parts of Arusha and Manyara regions. “Funny thing, th area recorded very little rains th ...
10 years ago
Michuzi28 Apr
10 years ago
TheCitizen14 Dec
An exciting adventure in Arusha’s Mto wa Mbu
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-TM5E_SRvqTI/U6yCHkcIoBI/AAAAAAAFtKc/z0G9JQ9XGM4/s72-c/unnamed+(9).jpg)
MBUZI WAKIWA MACHUNGONI HUKO MTO WA MBU
![](http://4.bp.blogspot.com/-TM5E_SRvqTI/U6yCHkcIoBI/AAAAAAAFtKc/z0G9JQ9XGM4/s1600/unnamed+(9).jpg)
10 years ago
GPLLOWASSA AHUTUBIA WAKAZI WA MTO WA MBU, ARUSHA
10 years ago
TheCitizen21 Sep
Sampling yummy local cuisines in Mto wa Mbu
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-yyAYfMtc_dU/U1PM-5ZhJlI/AAAAAAAFcA8/44uzUUlNIG8/s72-c/unnamed+(52).jpg)
UZINDUZI WA TAMASHA LA UTALII CUP MTO WA MBU MONDULI
![](http://1.bp.blogspot.com/-yyAYfMtc_dU/U1PM-5ZhJlI/AAAAAAAFcA8/44uzUUlNIG8/s1600/unnamed+(52).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-0pgnDiHa5yw/U1PM90ebcsI/AAAAAAAFcAw/28go4GCvsCA/s1600/unnamed+(53).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-MVYXIE5M_CY/U1PM-blOxZI/AAAAAAAFcBA/imIZ8eW9-BQ/s1600/unnamed+(54).jpg)