Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAKAZI DAR WAASWA KUJITOKEZA KWENYE CHANJO YA MATENDE NA SURUA-RUBELLA.

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Saidi Meck Sadiki akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu zoezi la utoaji wa chanjo ya Matende , Mabusha, dawa za Minyoo, matone ya Vitamini A, na Surua  - Rubella,  litakalofanyika  katika mikoa yote ya Tanzania kuanzia  Oktoba 18 hadi 24, 2014. Kaimu Mgaga Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Dkt. Hawa Kawawa  akisisitiza umuhimu wa  chanjo ya Surua –Rubella itakayotolewa wakati wa zoezi la chanjo Oktoba 18 hadi 24 na umuhimu wake...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Wakazi Dar waaswa kujitokeza kwenye chanjo ya Matende na Surua-Rubella

RC - DSM -1

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Saidi Meck Sadiki akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari jana jijini Dar es salaam kuhusu zoezi la utoaji wa chanjo ya Matende , Mabusha, dawa za Minyoo, matone ya Vitamini A, na Surua  – Rubella,  litakalofanyika  katika mikoa yote ya Tanzania kuanzia  Oktoba 18 hadi 24, 2014.

RC -DSM -2

Kaimu Mgaga Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Dkt. Hawa Kawawa  akisisitiza umuhimu wa  chanjo ya Surua –Rubella itakayotolewa wakati wa zoezi la chanjo Oktoba 18 hadi 24 na umuhimu wake...

 

10 years ago

Michuzi

CHANJO YA SURUA-RUBELLA, MATENDE NA MABUSHA KUTOLEWA

Na Beatrice Lyimo- MAELEZO,Dar es salaam.
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo inatarajia kufanya kampeni shirikishi ya ugonjwa wa Surua na Rubella kuanzia tarehe 18 hadi 24 oktoba, 2014.
Akizungumzia kampeni hiyo itakayofanyika nchini nzima leo jijini Dar es Salaam, Kaimu Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dkt. Donan Mmbando amesema kuwa itawahusisha watoto wenye umri wa kuanzia miezi 9 hadi miaka 15.
Amesema kampeni hiyo itaambatana na utoaji wa matone ya Vitamini...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Msisitizo uwekwe kwenye chanjo za surua, rubella

 MARADHI ni moja ya maadui wakuu ambao Mwalimu Julius Nyerere alitangaza kupambana nao mara baada ya nchi kupata uhuru. Ni dhahiri kuwa Mwalimu Nyerere aliyataja maradhi kama moja ya maadui wakubwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

RC Mahiza ahimiza chanjo ya surua na rubella

MKUU wa Mkoa wa Pwani, Mwantum Mahiza, amewataka wananchi kushiriki kikamilifu kwenye zoezi la chanjo ya surua na rubella inayoanza leo hadi Oktoba 24 mwaka huu na kwamba hazina madhara....

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wizara kutoa chanjo ya Surua, Rubella

WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii ikishirikiana na wadau wa maendeleo imeandaa kampeni shirikishi ya kutoa chanjo ya ugonjwa wa Surua na Rubella kwa watoto wenye kuanzia miezi tisa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Asilimia 95 ya watoto kupewa chanjo ya surua na rubella

HALMASHAURI ya Wilaya ya Iringa inatarajia kutoa chanjo ya surua na rubella kwa watoto 111,711 na dawa za matende na mabusha kwa watu wazima 264,076 katika kampeni inayoendelea nchini. Akizungumza...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kampeni ya chanjo dhidi ya surua, rubella kuzinduliwa leo

KAMPENI ya chanjo dhidi ya ugonjwa surua na rubella kwa watoto wenye umri wa miezi tisa hadi miaka 15 inatarajia kuzinduliwa leo. Katika kampeni hiyo itakayodumu kwa siku saba, watoto...

 

10 years ago

Dewji Blog

Chanjo ya Surua na Rubella: Manispaa ya Ilala yavuka lengo

02

Mganga Mkuu wa Hospitali ya Manispaa ya Ilala Dkt. Willy Sangu akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake leo.

Na Eleuteri Mangi-MAELEZO

Manispaa ya Ilala imevuka lengo la kutoa chanjo ya ugonjwa wa Surua na Rubella kwa watu 468,297 ambapo awali lengo lao lilikuwa kutoa chanjo hiyo kwa watu 445,801 wakati wa wiki ya kutoa chanjo hiyo nchini.

Hayo yamesemwa na Mganga Mkuu wa Hospitali ya Manispaa ya Ilala Dkt. Willy Sangu leo jijini Dar es salaam alipokuwa akitoa...

 

10 years ago

Habarileo

Kampeni ya chanjo ya surua, rubella yaanza kwa kishindo

SERIKALI imesema haitasita kuagiza chanjo zilizopo na zitakazogunduliwa baadaye ili kuwakinga Watanzania na maradhi yanayozuilika kwa chanjo. Kauli hiyo ilitolewa jana na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashidi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani