Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAKAZI AZINDUA WANAWAKE WA DAR “#WWD’’ KIJANJA ZAIDI

Msanii Wakazi akizindua video yake ya Wanawake wa Dar ‘WWD’. Mashabiki wakicheza na Wakazi.
Wakazi (kushoto),…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

GPL

WASICHANA WERUWERU WAASWA: “FUATENI NYAYO, JIFUNZE NA KUPATA USHAURI KWA WANAWAKE WALIOFANIKIWA “

Ofisa Mkuu wa Uhusiano wa Kampuni ya Vodacom Tanzania, Georgia Mutagahywa (wa pili kutoka kushoto) akimkabidhi chetu cha uhitimu mmoja wa wahitimu wa Kidato cha Sita wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Weruweru wakati wa mahafali ya shule hiyo yaliyofanyika mjini Moshi, Kilimanjaro mwishoni mwa wiki. Ofisa huyo aliwakilisha wafanyakazi wa Vodacom kupitia Vodacom Foundation ikiwa ni sehemu ya mchango wao katika kusaidia...

 

10 years ago

Vijimambo

Wakazi - WANAWAKE WA DAR

brand new official single from Wakazi. This is the second single from the upcoming Kisimani album, "Wanawake wa Dar" is produced by Innocent Mujwahuki. The video of the song (directed by hefemi) is scheduled to drop next week

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Wakazi — Wanawake wa Dar

Video mpya ya Wakazi, Wanawake wa Dar. Imeongezwa na Hefemi.

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Wakazi — Wanawake wa Dar

Download au kusikiliza wimbo mpya wa Wakazi, Wanawake wa Dar.

 

10 years ago

Bongo5

Wakazi leo kuzindua video ya ‘Wanawake wa Dar’

Rapper Wakazi leo atafanya uzinduzi wa video ya wimbo wake ‘Wanawake wa Dar’. Uzinduzi huo utafanyika M.O.G Bar and Restaurant jijini Dar es Salaam. Kwenye uzinduzi huo pia teaser ya wimbo wa Lady Jaydee ‘Forever’ itaoneshwa.

 

10 years ago

Vijimambo

3 CHICKZ WAZIDI KUTIKISA NA VIWALO VYAO VYA KIJANJA ZAIDI ..PIA NYWELE ZINAPATIKANA !!



























3chickz wanakuletea viwalo vyenye ladha ya kiafrika kwa bei poa kabisaa. Pata kivazi chako kikali na cha kijanja. Usikose maana wajanja wote mujini wanazo kasoro wewe tu.
Kwa mawasiliano waweza kutupata katika namba +1(347)-663-0781 na pia unaweza kutu follow kwenye Instagram (3chicks_bahia) ili upate kuona mambo mazuri zaidi.SASA

 

10 years ago

GPL

WAKAZI WA ZANZIBAR WAIPONGEZA KAMPENI YA USALAMA BARABARANI YA “WAIT TO SEND”‏

Kamishna Msaidizi wa Polisi wa Usalama Barabarani wa Zanzibar, ACP Nassor A.Mohamed (kushoto) akikabidhiwa vitendea kazi, fulana, pete na stika ofisini kwake Malindi mjini Zanzibar na Meneja Mauzo wa Vodacom Tanzania Kanda ya Zanzibar, Mohamed Mansour mwishoni mwa wiki kwa ajili ya mwendelezo wa kampeni ya usalama barabarani ya “Wait to Send” inayohamasisha madereva wa vyombo vya moto kutokutumia simu za mkononi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani