Walalamikia watoto wao kuhusishwa na 'Panya road'
Idadi ya vijana wanaojihusisha na kundi uhalifu maarufu kama ‘Panya Road’ waliokamatwa imeongezeka kutoka 1,391 kufikia 1,438 jijini Dar es Salaam huku baadhi ya wazazi na wakazi wa Magomeni na Mwenge wakilijia juu Jeshi la Polisi kwa madai kuwa operesheni hiyo inawahusisha wasiohusika.
Idadi hiyo imeongezeka katika mkoa wa kipolisi Temeke ambapo kwenye operesheni ya juzi wahalifu hao walikamatwa 47 na kuongeza idadi ya kufikia 1,4 38.
Aidha vijana hao walikamatwa ni pamoja na wapiga...
Vijimambo