Wanafunzi Feza Schools washinda kimataifa 'Genius Olympiad'
Mwanafunzi wa Shule ya Kimataifa ya Fedha mwaka 11, Khalfan Kikwete (kulia) ambaye alishinda medali ya dhahabu pamoja na mwenzake Seif Yahya Mhata wakizungumza na waandishi wa habari.
Mwanafunzi Veronica Samuel Ndomba akielezea (kulia) katika picha na bendera ya nchi yake mara baada ya ushindi katika mashindano ya Genius Olympiad hivi karibuni.
Picha ya Mwanafunzi Prince Mwemezi Muzamil Katunzi aliyoipiga na kushinda katika mashindano ya Genius Olympiad.
Wanafunzi wa Shule za Feza Tanzania...
Michuzi