'Wanaonyemelea jimbo langu imekula kwao'
BAADA ya uteuzi wake, Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mahmoud Mgimwa amesema wale wanaonyemelea jimbo lake la Mufindi Kaskazini, iwe ni kutoka upinzani au ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imekula kwao. Pamoja na kutoa tahadhari kwa wapinzani wake hao, Mgimwa alisema Rais Jakaya Kikwete hakukosea kumteua kushika nafasi hiyo kwa kuwa sifa na uwezo kwa pamoja vyote anavyo.
habarileo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania