'Wanaosambaza uongo ni watoto wa shetani'
MJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba, Paul Makonda ametumia maandiko matakatifu kuwaita baadhi ya wajumbe wa Bunge hilo wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ni watoto wa shetani, akiwataka wananchi kutowaunga mkono katika mikakati yao ya kile alichodai kutumia uongo kuzuia mchakato wa Katiba mpya.
habarileo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania