" Wanayapuuza Ya CAG Wanang'ang'ania Ya Richmond Wakiamini Ndo Njia Pekee Ya Kuniaribia
![](http://2.bp.blogspot.com/-ibQ9oTo-Y5w/VWbvewC2TXI/AAAAAAAAeCU/KUjkIgkEJx4/s72-c/1.jpg)
Kwa nini sakata la Ufujaji umeme wa dharura la kampuni ya Richmond liliolazimu kupangwa upya baraza la mawaziri linazungumzwa kwa nafasi kubwa na wanasiasa hadi sasa, huku ripoti ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali-CAG zinazoibua ubadhirifu mkubwa kila mwaka zikisahaulika kirahisi?Kama waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa asingehusishwa na sakata la Richmond kwa namna washindani wake kisiasa wanavyolazimisha, sakata ...
Vijimambo