WASANII BONGO MOVIE WANOGESHA KAMPENI ZA MGOMBEA MWENZA CCM
![](http://4.bp.blogspot.com/-VHNsNxajMgI/VfOlh6EWPbI/AAAAAAAADbk/fVBDZPuaL8s/s72-c/IMG_0495.jpg)
Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie wakizungumza na wanaCCM na wananchi katika mkutano wa kampeni za mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu katika mkutano uliofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Azimia Jimbo la Kibaha Vijijini jana mkoani Pwani.
Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie wakizungumza na wanaCCM na wananchi katika mkutano wa kampeni za mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu katika mkutano uliofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Azimia Jimbo...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog31 Aug
Helikopta ya Nyalandu yanogesha kampeni za Mgombea Mwenza CCM
Mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu akiwa jukwaani akinadi ilani ya Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba.
Mjumbe wa Kamati ya Kampeni Taifa, Mwigulu Nchemba ambaye pia ni mgombea wa ubunge Jimbo la Iramba Magharibi akizungumza na wananchi kuinadi ilani ya CCM.
Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika katika Jimbo la Iramba Magharibi.
Mbunge Nkenge CCM aliyemaliza muda wake,...
9 years ago
Vijimambo30 Aug
Helikopta ya Nyarandu Anogesha Kampeni za Mgombea Mwenza CCM
![Mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu akiwa jukwaani akinadi ilani ya Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_05371.jpg)
![Helkopta ya mgombea ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini ikitua.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_0458.jpg)
![Mgombea ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini anayeomba kuchaguliwa tena, Lazaro Nyarandu akiwarudisha baadhi ya wananchi kurudi eneo la Mkutano wa kampeni na kuacha kushangaa helkopta.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_0475.jpg)
![Mgombea ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini anayeomba kuchaguliwa tena, Lazaro Nyarandu akielekea eneo la mkutano pamoja na baadhi ya wananchi baada ya kutua na helkopta.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/08/IMG_0477.jpg)
9 years ago
Dewji Blog22 Oct
CCM kufunga kampeni zake kwa kishindo, Magufuli, Mgombea mwenza na Rais Kikwete kufunga kampeni Mkoani Mwanza
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwa kwenye gari pamoja na Mgombea mwenza (picha ya Maktaba yetu wakati wa kampeni zinazoendelea za wagombea hao).
CCM inapenda kutoa taarifa kuhusu masuala kadhaa kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wake na kwa umma wa Watanzania.
Kufunga Kampeni
CCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu mpya na kwa kishindo. Kampeni za CCM zitafungwa Kitaifa kwa mikutano mikubwa ya kampeni katika mikoa mitano. Mikutano hiyo itaongozwa na viongozi...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ZFV1ZKd60dY/Vdr6yxvevoI/AAAAAAAAx0U/mZkZSc3N5rA/s72-c/1.jpg)
MGOMBEA MWENZA CCM SAMIA SULUHU HASSAN AANZA KAMPENI KILIMANJARO LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-ZFV1ZKd60dY/Vdr6yxvevoI/AAAAAAAAx0U/mZkZSc3N5rA/s640/1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-DP5Kk7aYfA0/Vdr6xDOwtfI/AAAAAAAAx0I/sTqoBp8Es14/s640/2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-MVB5-c_B4DA/Vdr6yrHFPKI/AAAAAAAAx0Q/68wxML78iE4/s640/DSC_0052.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-bkQiduxcCYk/Vdr60PmPe6I/AAAAAAAAx0k/2AKB_fLAgTc/s640/DSC_0073.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-p6K17XLx3U8/VfMAScYB5GI/AAAAAAAH4GE/2XSLtCaLtfw/s72-c/IMGS1789.jpg)
NYOTA WA BONGO MOVIE KATIKA MSAFARA WA KAMPENI WA CCM
![](http://4.bp.blogspot.com/-p6K17XLx3U8/VfMAScYB5GI/AAAAAAAH4GE/2XSLtCaLtfw/s640/IMGS1789.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-52qL6d591ho/VfMATEPW5pI/AAAAAAAH4GI/mg_479SSwPk/s640/IMGS1795.jpg)
9 years ago
Dewji Blog22 Oct
Ratiba ya kampeni za mgombea Urais/Mgombea Mwenza kwa Vyama vya Siasa iliyorekebishwa tarehe 20/10/2015
RATIBA REVIEWED ON 20 10 2015.pdf
9 years ago
Dewji Blog23 Oct
Ratiba ya kampeni za mgombea Urais/Mgombea mwenza kwa vyama vya siasa — kama ilivyorekebishwa tarehe 22/10/2015
RATIBA REVIEWED ON 22 10 2015.pdf