Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASANII WA KUNDI LA THE SUN CARTURE DANCE 'MAKILIKILI' WAKITOA BURUDANI

Makilikili wakitumbuiza katika usiku wa Valentine Dar…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI‏

John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Sam Mapenzi. It's Friday and its on #TGIF, Skylight friday, wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu,wote tunakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band, Karibuni sana...

 

11 years ago

GPL

BURUDANI ZATAWALA DAR LIVE KABLA YA UZINDUZI WA ALBAMU MPYA 'CHOZI LA MAMA'

Mashabiki wa Jahazi Modern Taarab wakijiachia ndani ya Dar Live usiku huu kabla ya uzinduzi wa albamu mpya 'Chozi la…

 

11 years ago

GPL

SNURA 'MAMAA MAJANGA' NA KUNDI LAKE WAKIFANYA MOMBO DAR LIVE USIKU HUU

Snura Mushi na kundi lake wakifanya makamuzi katika usiku wa mwaka mpya 2014 ndani ya Dar Live.…

 

11 years ago

GPL

RECHO AFANYA 'BETHIDEI', WASANII WENGI WATOKA NUSU UCHI

Winfrida Joseph a.k.a Recho akikata keki. Recho akiwa na rafiki yake katika pozi.…

 

10 years ago

GPL

MKE WA OBAMA ASHEREHEKEA BETHIDEI YA MIAKA 5 YA KAMPENI YAKE YA 'LET'S MOVE' KWA DANSI

MKE wa Rais wa Marekani Barack Obama, Michelle Obama juzi Jumatatu alitoa shoo ya nguvu kwa kucheza wimbo wa Mark Ronson uitwao "Uptown Funk" akiwa sambamba na mastaa wa "So You Think You Can Dance". Michelle alikuwa akisherehekea bethidei ya miaka mitano ya Kampeni yake ya "Let's Move!" yenye lengo la kuondoa vitambi kwa watoto nchini Marekani. Michelle alianzisha kampeni hiyo mwaka 2010 baada ya kuwepo watoto wengi wenye...

 

10 years ago

GPL

CHRISTIAN BELLA 'KING OF THE BEST MELODIES' AAHIDI MAKUBWA SHOO YA VALENTINE'S DAY, DAR LIVE

Christian Bella (kulia) akijibu baadhi ya maswali ya wanahabari (hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya shoo yake ya Valentine kwenye Ukumbi wa Dar Live. Bella akisisitiza jambo kwa wanahabari (hawapo pichani).…

 

10 years ago

GPL

10 years ago

GPL

FAINALI YA DANCE 100 J'MOSI CHINI YA VODACOM TANZANI‏

Meneja wa Uhusiano wa Umma  wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (kulia) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana juu ya fainali  ya mashindano hayo yatakayofanyika jumamosi Don Bosco Oysterbay jijini. Kulia ni Mratibu wa shindano  hilo la Dance 100%, Happy Shame. Mratibu wa shindano la Dance 100%, Happy Shame ( kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam… ...

 

10 years ago

GPL

RISE WA KUNDI LA LADIES' CODE AFARIKI DUNIA

Wasanii wa Kundi la Pop la Ladies' Code kutoka Korea Kusini. Wa pili kushoto ni Kwon Ri-sae maarufu kama Rise enzi za uhai wake.  Kwon Ri-sae maarufu kama Rise. MWIMBAJI mwingine wa Kundi la Pop la Ladies' Code kutoka Korea Kusini, Kwon Ri-sae maarufu kama Rise (23) amefariki dunia…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani