Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASANII WANAOMILIKI MIJENGO BONGO

Juma Khalid Jux. BOSI wa Mkubwa na Wanawe, Said Fella, amekuwa akiwasisitiza zaidi wasanii wake kuwa wanapopata fedha kidogo tu basi wanatakiwa kuhakikisha wanaanza kuutengeneza mwamvuli (nyumba) kwani ndicho kitu muhimu katika maisha ya binadamu. Elizabeth Michael Lulu. Na imekuwa ikitokea mara nyingi baadhi ya wasanii ambao wanashika fedha nyingi kwa mara ya kwanza kujisahau sana na kujikuta wakizitumia fedha zao… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mastaa 10 wenye mijengo ya maana Bongo

Matanuzi ni sehemu ya maisha ya mastaa wengi duniani, hivyo hata wanapoamua kufanya mambo ya maendeleo, hukakikisha wanafanya yale yatakayoendana na hadhi zao. Wapo wanaoamua kutanua kwa akili kwa kuwekeza katika vitu vya msingi kama nyumba na vitega uchumi.

 

10 years ago

Michuzi

WASANII WA BONGO MOVIE WAWAOMBEA DUA WASANII WENZAO WALIOFARIKI DUNIA

Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi,Abdallah Bulembo (katikati) akiwasili katika viwanja vya karimjee jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuungana na wasanii kwenye dua maalum ya kuwaombea wasanii waliotangulia mbele ya haki.Kulia ni Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity,Steven Mengele maarufu kama Steve Nyerere.Msanii wa vichekesho ambaye pia ni muinjilisti kwa sasa Emanuel Mgaya Maarufu kama Masanja Mkandamizaji akiongoza dua kwa upande wa wakristo huku Msanii Jacob Stephen JB akiwa ameishikilia...

 

5 years ago

Bongo5

Wasanii wa Bongo Movie wanaishi ‘Ki Bongo Flava’ – Nikki wa Pili

Msanii wa hip hop kutoka Weusi, Nikki wa Pili, ametia neno katika sakata linaloendelea la kupigwa marufuku kwa filamu za nje kwa madai zinaingizwa bila kulipiwa kodi hali ambayo imesababisha kuwa nyingi na kuzinyima filamu za ndani nafasi ya kufanya vizuri sokoni.

Hatua hiyo imekuja baada ya siku ya Jumatano wiki hii baadhi ya wasanii wa filamu nchini kuandamana wakiwa na Mkuu wa Mkoa Dar es salaam, Paul Makonda, kupinga filamu hizo ambapo RC huyo alipiga marufuku filamu hizo huku akitaka...

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu Asema Wasanii Wengi wa Bongo Movie Hawajieliwi, Tofauti na Bongo Fleva

Mrembo na muigizaji wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael, ‘Lulu’ amesema wasanii wengi wa filamu hawana mawazo ya maana na hawafikiriimambo makubwa kuhusu wanachokifanya. Bali hufanya tu kwa sababu  wapo katika jamii na ahahisi wale wa bongo fleva wanafikiri zaidi yao

“ Unawaza kwanza kIsha unatenda, wasanii wa filamu hatuna mawazo mazuri zaidi ya ubishoo tu, hatuoni  mbali  hatuna wivu wa kimaendeleo leo unakuta msanii wa Bongo Fleva wanatoka nnje na wanarudi na tuzo lakini sisi tumekaa...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Mtanzania

Wasanii wa Bongo mnakoelekea siko

DSCN7737babay jayLINNNDSCN8002NA FESTO POLEA

WAKATI juhudi za kupata vazi la Taifa zikiendelea, kuna haja ya kuanzishwa mchakato wa kupata vazi la wasanii ili wawe wakilitumia wakiwa jukwaani.

Sina maana kwamba, wasanii hao wachaguliwe mavazi ya kuvaa wawapo stejini bali wawekewe kikomo cha mavazi, muda wa kuvaa, mazingira na hadhira iliyopo.

Naandika hili kwa kuwa kuna kila dalili ya wasanii wetu kufikia hatua ya kuiga aina ya mavazi wanayovaa wasanii wa Magharibi ambapo mara kwa mara huwa stejini nusu utupu akiwemo,...

 

11 years ago

GPL

WASANII BONGO WAPEWA SEMINA

Mwendesha shughuli hiyo, Ruge Mutahaba akizungumza jambo. Muigizaji, Tellence J akiongea mbele ya wasanii wa Bongo leo. Tellence J na Shaka Zulu.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani