Washindi 100 kuzawadiwa Samsung Gear S, kifaa pacha cha Galaxy Note 4 mpya
Kampuni ya vifaa vya kieletroniki ya Samsung imezindua kampeni ya kuweka oda kwa bidhaa yake mpya ya Galaxy Note 4 nchini Tanzania, ikiwa ni sehemu ya kushamirisha uzinduzi mkubwa utakofuatia wa bidhaa inayosubiriwa kwa shauku ya Samsung Galaxy Note 4. Kampeni hiyo itakayoendeshwa kuanzia tarehe 31 Oktoba hadi 14 Novemba 2014, inadhamiria kuwapa wateja wake wa kudumu nafasi ya kujipatia bidhaa hiyo ya kisasa zaidi katika familia ya simu za kiganjani za Note. Hali kadhalika kampeni...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
Gizmochina18 Feb
Samsung Galaxy S20+ vs Samsung Galaxy Note 10+: Specs Comparison
5 years ago
Gizchina.Com21 Feb
Samsung Galaxy Note 10 and Note 10+ are $150 cheaper for a limited time
5 years ago
CNET25 Mar
Samsung Galaxy S10 and Note 10 to get Galaxy S20 camera features
5 years ago
Android Authority20 Mar
Apparent Samsung Galaxy Note 20, Galaxy Fold 2 references spotted in kernel code
10 years ago
Dewji Blog17 Nov
Kampuni ya vifaa vya kielektroniki ya Samsung yazindua Samsung Galaxy Note 4 Tanzania
Bw. Mike Seo, Meneja Mtendaji wa Kampuni ya Kielectroniki ya Samsung Tanzania akiwahutubia wageni waalikwa katika uzinduzi rasmi wa simu ya Samsung Galaxy Note 4 uliofanyika katika ukumbi wa Terrace, Slip way.
Baada ya kusubiriwa miezi kadhaa, Kampuni ya kielektroniki ya Samsung Tanzania imeongeza rasmi mwanafamilia mpya katika simu aina ya Note. Tukio lililofanyika katika Ukumbi wa Terrace , Slipway ni alama ya uzinduzi rasmi na upatikanaji wa Samsung Galaxy Note 4 katika soko...
5 years ago
TechRadar India22 Feb
What can the Samsung Galaxy S20 tell us about the Galaxy Note 20?
5 years ago
Forbes08 Mar
Samsung Galaxy Note 20: Everything We Know So Far
10 years ago
GPL5 years ago
Forbes06 Mar
Samsung Insider Exposes Radical Galaxy Note 20 Upgrade