'Wasio na leseni marufuku kuuziwa kemikali'
WAKALA wa maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali imepiga marufuku uuzaji wa kemikali kwa mtu yeyote asiye na leseni kutoka kwake. Kaimu Mkemia Mkuu wa Serikali nchini, Sebanito Mtega alisema hatua hiyo inatokana na kukamilika kwa kazi ya kusajili wauzaji na watumiaji wa kemikali nchini, kazi iliyokamilika Novemba 30 mwaka jana.
habarileo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania