'Wasiopenda Muungano hawana sababu'
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Evod Mmanda amesema licha ya changamoto nyingi zinazoukabili muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuna haja ya kukaa pamoja na kutatua changamoto hizo ili kwenda pamoja. Mmanda ambaye ni mjumbe wa Sekretarieti ya kutengeneza kanuni za Bunge Maalumu, alisema hayo wakati wa mahojiano Mjini Dodoma. Alisema miaka 50 ya Muungano ni faraja na jambo la kujivunia.
habarileo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania