Watalii toka Uingereza watoroka Mombasa
Mamia ya watalii kutoka Uingereza watoroka mashambulizi ya kigaidi nchini Kenya .
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili10 Jul
Watalii wa Uingereza kuondoka Tunisia
Maelfu ya watalii wanajiandaa kuondoka nchini Tunisia kufuatia onyo kutoka kwa serikali ya Uingereza kwamba huenda kukatokea shambulio jingine la kigaidi.
10 years ago
CCM Blog
SALAAM ZA PONGEZI TOKA CCM TAWI LA UINGEREZA

"CCM TAWI LA UINGEREZA Linatoa Pongezi nyingi sana kwa ushindi mkubwa aliyopata mgombea wetu wa urais Dr. John Pombe Joseph Magufuli pamoja na wabunge, madiwani na wote walioshiriki kwa namna moja au nyingine kufanikisha ushindi huu mkubwa.
CHAMA CHA MAPINDUZI - UINGEREZA."
11 years ago
GPL
TAARIFA MUHIMU TOKA CCM TAWI LA UINGEREZA
 CCM TAWI LA UINGEREZA - UNITED KINGDOM Website ccmuk.org,Blog ccmuk.org/blog, Facebook page Chama Cha Mapinduzi Uingereza, twitter CCMUK1 Contacts Phone +44 74 04 863333, +44 7545 213515 E-mail - itikadi-uenezi@ccmuk.org MAINA OWINO ANG'ATUKA UENYEKITI WA CCM TAWI LA UINGEREZA - UNITED…
11 years ago
Michuzi24 Apr
11 years ago
GPL
SALAMU ZA PASAKA 2014 TOKA CHAMA CHA MAPINDUZI UINGEREZA
Chama Cha Mapinduzi- London – Uingereza kinaridhia Salaam za CCM Makao Makuu kuungana na Wakristo- Watanzania na Ulimwenguni kote kuwatakia kila la kheri na fanaka katika kusherehekea Sikuu Kuu ya PASAKA 2014. Aidha CCM UK inayo imani kubwa kuwa Sherehe hii ya Pasaka itakuwa kigezo cha kuwakaribisha Watanzania wa Imani zote kujitazama kwa wongufu na kuridhia misingi mikuu ya Uhuru, Muungano wetu na Umoja wa...
10 years ago
VijimamboWIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAKABIDHIWA MAGARI YA MSAADA TOKA UINGEREZA
Akikabidhi msaada huo leo Mwakilishi wa Shirika hilo Dkt. Khalfan Abdallah Mohamed amesema lengo la Msaada huo ni kuiwezesha Zanzibar kupiga hatua katika mapambano yake na Maradhi hayo ambayo yanawaandama watu wengi.
Maradhi hayo ni pamoja na...
10 years ago
Michuzi
Uingereza yashirikiana na TAKUKURU kutoa mafunzo kwa maafisa toka ofisi 27 za mikoa
Wachunguzi toka ofisi 27 za Mikoa za TAKUKURU wanapata ujuzi kupitia mafunzo yenye kugusa masuala ya utakatishaji wa fedha, kupata taarifa na mlolongo wa uhalifu kwa kutumia sheria za sasa za Tanzania.
Mafunzo haya yamefadhiliwa na DFID kama sehemu ya Mpango wa Kuimarisha Mapambano dhidi ya Rushwa Tanzania (STACA) na inasimamiwa na Afisa wa Uingereza toka kitengo cha NCA, Bwana Phill Jones.
Wachunguzi toka ofisi 27 za Mikoa za TAKUKURU wakimsikiliza kwa makini, Afisa wa Uingereza toka...
Mafunzo haya yamefadhiliwa na DFID kama sehemu ya Mpango wa Kuimarisha Mapambano dhidi ya Rushwa Tanzania (STACA) na inasimamiwa na Afisa wa Uingereza toka kitengo cha NCA, Bwana Phill Jones.

10 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania