'Watanzania msiige Katiba za nchi nyingine'
MWANASHERIA Mkuu wa zamani wa Kenya, ambaye sasa ni Seneta wa Busia, Amos Wako amewashauri wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, kutoiga kila kitu kutoka kwenye Katiba za nchi nyingine bali wajifunze na kutunga Katiba inayoendana na mazingira ya Tanzania.
habarileo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania