WATANZANIA TUJIHADHARI: 'CORONA NI HATARI'
![](https://1.bp.blogspot.com/-rtK5LcxQR00/Xoz6bj0eKII/AAAAAAAAnSo/geK4ZiYWD1wT_nG5u_JKKKCYCpvF92ECACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
Msanii wa muziki na ngoma za Asili nchini, Coca Satra akiwa katika maeneo tofauti ya Jiji la Dar es Salaam akihamasisha jamii kuchukua hatua zaidi ya Virusi vya Corona.
NA MWANDISHI WETU
MSANII wa muziki na ngoma za asili, Coca Satra ameamua kuingia mtaani kuhabarisha Umma kuchukua hatua na tahadhari dhidi ya janga la ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Corona (COVID19).
Satra ambaye anazunguka mtaani na ujumbe maalumu kwenye bango usomekao:
"CORONA NI HATARI
Watanzania tujihadhari" ambapo...
CCM Blog