Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watoto milioni 21 kuchanjwa kampeni ya surua, rubella

SERIKALI imesema inatarajia kuchanja watoto milioni 21 katika kampeni shirikishi ya chanjo ya surua na rubella kwa watoto wenye umri wa miezi tisa hadi 15 inayotarajiwa kuanza kesho hadi Ijumaa ijayo. Lengo la kampeni hiyo ni kupunguza vifo na madhara yatokanayo na magonjwa hayo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kampeni ya chanjo ya surua, rubella yaanza kwa kishindo

SERIKALI imesema haitasita kuagiza chanjo zilizopo na zitakazogunduliwa baadaye ili kuwakinga Watanzania na maradhi yanayozuilika kwa chanjo. Kauli hiyo ilitolewa jana na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashidi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Lions International na mchango wake kampeni ya Surua-Rubella

OCTOBA 18, mwaka huu ilizinduliwa kampeni kubwa ya chanjo dhidi ya magonjwa ya Surua na Rubella kitaifa mkoani Dodoma na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashidi....

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kampeni ya chanjo dhidi ya surua, rubella kuzinduliwa leo

KAMPENI ya chanjo dhidi ya ugonjwa surua na rubella kwa watoto wenye umri wa miezi tisa hadi miaka 15 inatarajia kuzinduliwa leo. Katika kampeni hiyo itakayodumu kwa siku saba, watoto...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Asilimia 95 ya watoto kupewa chanjo ya surua na rubella

HALMASHAURI ya Wilaya ya Iringa inatarajia kutoa chanjo ya surua na rubella kwa watoto 111,711 na dawa za matende na mabusha kwa watu wazima 264,076 katika kampeni inayoendelea nchini. Akizungumza...

 

10 years ago

Vijimambo

TUWAPELEKE WATOTO WETU KATIKA CHANJO YA SURUA NA RUBELLA OKTOBA 18-24

SURUA na rubella ni magonjwa hatari yanayoenezwa haraka kwa njia ya hewa, kutoka kwa mtu mwenye vimelea vya ugonjwa huo kwenda kwa mwingine.
Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa dalili za magonjwa haya mawili zinafanana, hivyo ni vigumu kutofautisha. Wataalamu hao wanasema dalili kuu ni homa na vipele vidogovidogo.
Chanjo ya surua-rubella hutoa kinga kamili dhidi ya magonjwa haya. Dozi ya kwanza hutolewa kwa mtoto anapofikia umri wa miezi 9 na dozi ya pili akiwa na mwaka mmoja na nusu (miezi 18)....

 

10 years ago

Mwananchi

Watoto milioni 21 kupewa chanjo ya surua

Zaidi ya nusu ya wananchi kesho wanatarajiwa kuanza kupatiwa chanjo ya surua na rubella katika vituo vyote vya afya nchini.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wizara kutoa chanjo ya Surua, Rubella

WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii ikishirikiana na wadau wa maendeleo imeandaa kampeni shirikishi ya kutoa chanjo ya ugonjwa wa Surua na Rubella kwa watoto wenye kuanzia miezi tisa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

RC Mahiza ahimiza chanjo ya surua na rubella

MKUU wa Mkoa wa Pwani, Mwantum Mahiza, amewataka wananchi kushiriki kikamilifu kwenye zoezi la chanjo ya surua na rubella inayoanza leo hadi Oktoba 24 mwaka huu na kwamba hazina madhara....

 

10 years ago

Tanzania Daima

Msisitizo uwekwe kwenye chanjo za surua, rubella

 MARADHI ni moja ya maadui wakuu ambao Mwalimu Julius Nyerere alitangaza kupambana nao mara baada ya nchi kupata uhuru. Ni dhahiri kuwa Mwalimu Nyerere aliyataja maradhi kama moja ya maadui wakubwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani