Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watoto waasiliwa na wapenzi wa jinsia moja

Mahakama mjini London yawaruhusu wapenzi wa jinsia moja kuasili watoto wa wazazi wa Slovakia walioshindwa kuwalea watoto hao

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Wapenzi wa jinsia moja kuwakilishwa A.K

Chama kipya kinachowatetea wapenzi wa jinsia moja kitasimamisha wagombea katika uchaguzi mkuu nchini Afrika Kusini mwaka huu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wapenzi wa jinsia moja washtakiwa Kenya

Wanaume wawili katika eneo la Kwale Pwani ya Kenya wamefikishwa mahakamani kujibu mashtaka ya kufanya mapenzi ya jinsia moja.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wapenzi wa jinsia moja wadai kunyanyaswa

Kundi la kuteta haki za kibinadam nchini Tanzania la LGBT limedai sheria za Tanzania zawakandamiza wapenzi wa jinsia moja

 

10 years ago

BBCSwahili

Wapenzi wa jinsia moja hatarini Urusi

Shirika la Human Rights Watch, linasema kuwa visa vya wapenzi wa jinsia moja kushambuliwa vinaendelea kuongezeka hasa tangu serikali kupiga marufuku propaganda zozote kuhusu mapenzi ya jinsia moja

 

11 years ago

BBCSwahili

Onyo kwa wapenzi wa jinsia moja UG

Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameidhinisha sheria mpya ya wapenzi wa jinsia moja ambayo inatoa adhabu ya maisha jela kwa wenye hatia.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wapenzi wa jinsia moja watoroka Uganda

Mamia ya watu wa jamii ya jinsia moja nchini Uganda wamelitoroka taifa hilo ili kukwepa ubaguzi na mateso.

 

11 years ago

BBCSwahili

India yapinga wapenzi wa jinsia moja

Mahakama ya juu kabisa nchini India imepinga uhusiano wa wapenzi wa jinsia moja.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wapenzi wa jinsia moja Kenya wataka usajili

Jamii ya wapenzi wa jinsia moja Kenya inataka serikali kulazimishwa kulisajili shirika lao walilozindua kutetea masilahi yao.

 

11 years ago

BBCSwahili

Afueni kwa wapenzi wa jinsia moja Uganda

Mahakama ya kikatiba Uganda imefutilia mbali sheria inayoharamisha mapenzi ya jinsia moja

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani