Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watoto watatu wafariki dunia wakiogelea Dar

Simanzi na vilio jana vilitawala katika Mtaa wa Kijitonyama Mpakani A, baada ya watoto watatu wa familia jirani kufariki dunia baada ya kuzama katika bwawa la kuogelea walipokuwa wakisherehekea siku ya kuzaliwa mtoto mwenzao aliyetimiza mwaka mmoja.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Watatu wafariki dunia Dar

WATU watatu wamefariki dunia jana jijini Dar es Salaam katika matukio mawili tofauti, likiwamo la mmoja kujinyonga kwa kutumia mtandio. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Englibert Kiondo, alisema kuwa...

 

11 years ago

Mtanzania

Watatu wafariki dunia D’Salaam

Dar es Salaam

Eneo la katikati ya Jiji la Dar es Salaam

Na Veronica Romwald, Dar es Salaam

WATU watatu wamefariki dunia katika matukio matatu tofauti likiwamo la mtoto Jackline Lubaka (5), kufariki baada ya ukuta kumdondokea.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Kihenya Wakihenya, alisema tukio hilo lilitokea juzi saa 11 jioni wakati Lubaka alipokuwa akicheza na wenzake pembezoni mwa nyumba wanayoishi ghafla alidondokewa na ukuta na kufariki dunia papo hapo.

Alisema chanzo cha ajali hiyo ni uchakavu wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watatu wafariki dunia Pwani

MKAZI wa Kijiji cha Msolwa, wilayani Bagamoyo, Doto Paul (30), amekufa kwa kuteketea kwa moto uliotokana na radi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Ulrich Matei, alisema jana kuwa tukio...

 

11 years ago

Mwananchi

Watu watatu wafariki dunia matukio tofauti Iringa

Iringa. Watu watatu wamefariki dunia katika matukio tofauti, akiwamo mjamzito anayedaiwa kufariki baada ya kupigwa na mumewe.

 

10 years ago

Dewji Blog

Watatu wafariki dunia katika matukio tofauti mkoani Singida

DSC00179111

Kamanda wa jeshi la polisi mkoani Singida, SACP  Geofrey Kamwela.

Na Nathaniel Limu, Singida

WATU watatu mkoani Singida, wamefariki dunia katika matukio tofauti likiwemo la mkulima moja  kupigwa vibaya na askari mgambo akituhumiwa kuvunja mlango wa ofisi ya afisa mtendaji wa kijiji.

Kamanda wa jeshi la polisi mkoani Singida, SACP  Geofrey Kamwela alisema katika tukio la kwanza,mkulima mkazi wa kijiji cha Milade tarafa ya Kinyangiri wilaya ya Mkalama,Salum Abrahamani (42) amefariki dunia...

 

11 years ago

GPL

WATATU WAFARIKI KWA KUFUKIWA KIFUSI MACHIMBONI DAR

Shughuli ya uokoaji ikiendelea. Waokoaji baada ya kugundua mwili ulipo.…

 

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA:WANAFUNZI WATATU WA KIKE WAFARIKI DUNIA BAADA YA KUFUKIWA NA KIFUSI CHA UDONGO WILAYA YA ILEJE.

Kamanda wa Polisi Mkoani Mbeya -SACP Ahmed Msangi--WANAFUNZI WATATU WA KIKE WANAOSOMA SHULE YA MSINGI ILOMBA AMBAO NI 1. SEVELINA MWILE [11], MKAZI WA KITONGOJI CHA ITALE 2. GRACE PATSON [10], MKAZI WA KITONGOJI CHA ITALE NA 3. AGEY SEME [10], MKAZI WA KITONGOJI CHA ILOMBA[W] MBEYA VIJIJINI WOTE WANAFUNZI WA DARASA LA NNE SHULENI HAPO WALIFARIKI DUNIA BAADA YA KUFUKIWA NA KIFUSI CHA UDONGO WAKATI WAKICHIMBA UDONGO NDANI YA SHIMO.
TUKIO HILO LIMETOKEA TAREHE 12.11.2014 MAJIRA YA SAA 12:00HRS...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanne wafariki dunia Dar

WATU wanne wameripotiwa kufariki dunia jijini Dar es Salaam katika matukio tofauti. Akielezea matukio hayo jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura, alisema mfanyakazi wa GEPF, Philemon Nelson...

 

11 years ago

Mwananchi

Watu wanne wafariki dunia katika matukio tofauti Dar

Watu wanne wamefariki dunia katika matukio tofauti likiwemo la watoto wawili wa familia moja, walioteketea kwa moto wakiwa wamelala chumbani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani