WAZIRI DKT. MAGUFULI AKAGUA BARABARA MKOANI MBEYA.
aziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli amekagua barabara mkoani Mbeya na kuahidi ujenzi wa kiwango cha lami, barabara ya Mpemba-Isongole yenye urefu wa KM 58 Wilayani Ileje.Akizungumza mara baada ya kufungua sehemu ya barabara ya lami wilayani humo kati ya Isongole hadi Itumba KM 9, Waziri Magufuli amesema Serikali itaijenga kwa kiwango cha lami barabara ya Mpemba-Itumba KM 58, ili kufungua fursa za uchumi wilayani Ileje na kuhakikisha barabara hiyo inaungana na nchi ya malawi kwa lami na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziDkt Magufuli akagua ujenzi wa Madaraja katika Barabara ya Bagamoyo-Msata mkoani Pwani
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akikagua sehemu ya chini ya daraja la Kariakoo. Mkandarasi wa Barabara ya Bagamoyo-Msata kushoto akitoa maelezo ya Mradi wa Madaraja katika eneo la Ruvu Chini Mkoani Pwani huku...
11 years ago
MichuziDKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKAGUA BARABARA YA MWENGE-TEGETA, MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (BRT) PAMOJA MIRADI YA UJENZI WA BARABARA ZA JUU TAZARA FLYOVER NA MAKUTANO YA BARABARA ZA JUU UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Dewji Blog07 Feb
Dk. Magufuli akagua barabara yenye urefu wa km 89, Manyoni-Itigi Mkoani Singida
Na Nathaniel Limu, Itigi
Waziri wa ujenzi, Dk. John Pombe Joseph Magufuli, amewakumbusha wafanya biashara wanaosafirisha/mizigo kwa kutumia barabara, wahakikishe wanazingatia uzito uliowekwa kisheria, ili barabara zinazojengwa kwa gharama...
10 years ago
GPLMAGUFULI AKAGUA MIZANI YA KISASA YA VIGWAZA MKOANI PWANI PAMOJA NA UJENZI WA BARABARA YA KIBAMBA-KWEMBE-MAKONDEKO
11 years ago
MichuziWAZIRI MAGUFULI AKAGUA BARABARA YA USAGARA- KISESA YENYE UREFU WA JUMLA YA KM 16.8 JIJINI MWANZA
10 years ago
MichuziWAZIRI WA UJENZI AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA TENGERU-SAKINA (KM 14.1) ITAKAYOJENGWA KWA NJIA NNE MKOANI ARUSHA
5 years ago
MichuziRAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA JUU UBUNGO NA BARABARA, AONGEA NA KUSIKIL|IZA KERO ZA WANANCHI MBEZI MWISHO, MLOGANZILA, MLANDIZI,CHALINZE
5 years ago
MichuziRAIS MHE. DKT. MAGUFULI AMUAPISHA DKT. MWIGULU LAMECK NCHEMBA KUWA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA. CHATO MKOANI GEITA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mbunge wa Iramba Magharibi) kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Hafla iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , Mei 03, 2020.Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mbunge wa Iramba Magharibi) akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Hafla iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , ,...
10 years ago
MichuziDKT.MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA MWANGA-KIKWENI-VUCHAMA/LOMWE KM 40.6 MKOANI KILIMANJARO