WAZIRI JAFO AZINDUA SHULE YA MSINGI 'MAVUNDE' JIJINI DODOMA
![](https://1.bp.blogspot.com/-_mCGl1u4-zY/Xk07bSJTSlI/AAAAAAALeVY/TXWPtNy-AFohTzGe_kRnMf2ZWbofrcpCACLcBGAsYHQ/s72-c/bv.jpg)
Charles James, Michuzi TV
SERIKALI imesema mwisho wa wanafunzi wanaotembea umbali mrefu kwenda shule katika kata ya Nala jijini Dodoma ni mwaka huu kwani kuanzia mwakani hakutakua na changamoto ya madarasani katika shule ya msingi kwenye kata hiyo.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi, Mhe Selemani Jafo wakati akizindua shule shikizi ya msingi ya Chiwondo iliyopo katika Jiji la Dodoma.
Shule hiyo imejengwa kwa msaada wa Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Mhe Anthony...
Michuzi