Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Membe KUSHIRIKI MKUTANO WA KUZUIA UHALIFU NA HAKI ZA WAHALIFU Nchini Quatar

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernard Membe (Mb.) akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Quatar Mh. Dkt. Khalid Mohamed Al Attiyah, walipokutana na kufanya mazungumzo kuhusu kuendeleza mahusiano kati ya Tanzania na Quatar pia kutangaza Fursa za uwekezaji nchini Tanzania. Waziri Membe yupo nchini Quatar kwa madhumuni ya kushiriki mkutano kuhusu Kuzuia Uhalifu na Haki za Waalifu. Mazungumzo yakiendeleaWaziri Membe akiwa Katika picha ya pamoja na Bw. Noel Kaganda Mshauri wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Waziri Membe yupo Nchini Quatar Kikazi

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernard Membe (Mb.) akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Quatar Mh. Dkt. Khalid Mohamed Al Attiyah, walipokutana na kufanya mazungumzo kuhusu kuendeleza mahusiano kati ya Tanzania na Quatar pia kutangaza Fursa za uwekezaji nchini Tanzania. Waziri Membe yupo nchini Quatar kwa madhumuni ya kushiriki mkutano kuhusu Kuzuia Uhalifu na Haki za Waalifu.Mazungumzo yakiendelea Waziri Membe akiwa Katika picha ya pamoja na Bw. Noel Kaganda Mshauri wa...

 

10 years ago

Michuzi

VIONGOZI NCHINI WATAKIWA KUSHIRIKI MKUTANO MABADILIKO YA TABIA YA NCHI NCHINI ETHIOPIA

 Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii
VIONGOZI nchini wametakiwa kushiriki katika mkutano wa mabadiliko ya tabia ya nchi utakaofanyika Julai 13 na 16 Addis Ababa Ethiopia.


Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam,Mratibu wa Mtandao wa Mabadiliko ya Tabia ya Nchi (CAN),Sixsbaty Mwanga amesema mkutano huo ni muhimu kutokana hali iliyopo sasa katika mabadiliko ya tabia ya nchi kwa kuongezeka ukame ,njaa pamoja na mafuriko, hivyo viongozi wanaweza kushawishi mkutano katika kuongeza...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MEMBE AONGOZA MKUTANO WA MAWAZIRI WA JUMUIYA YA MADOLA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe akiongoza Mkutano wa 45 wa Kikundi Kazi cha Mawaziri wa Jumuiya ya Madola, (Commonwealth Ministerial Action Group-CMAG) unaofanyika Mjini London, Uingereza tarehe 11 na 12 Machi, 2015. Waziri Membe ni Mwenyekiti wa Kikundi Kazi hicho ambaye aliteuliwa wakati wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola uliofanyika nchini Sri Lanka mwaka 2013. Kushoto kwa Waziri Membe ni Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo, Bw....

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA KUSHIRIKI MKUTANO WA TATU WA MAENDELEO ENDELEVU YA MIJI NA MAKAZI DUNIANI NCHINI KENYA

Ujumbe wa Tanzania Kwenye Kamati ya maandalizi ya Mkutano wa tatu wa Maendeleo endelevu ya Miji na Makazi Duniani (HABITAT 3) unaofanyija jijini Nairobi nchini Kenya. Ujumbe huo unaongozwa na Naibu katibu Mkuu,Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi Dkt.Seleseid D.Mayunga (MBELE KULIA). Wengine pichani ni Maafisa waandamizi wa serikali.

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MEMBE AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA KUHUSU SAYANSI YA JAMII

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa siku mbili kuhusu Sauti ya Kwanza ya Sayansi ya Jamii. Mkutano huo ambao unafanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani chini ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam unawashirikisha Wajumbe kutoka Tanzania, Kenya, Uganda, Ghana, Nigeria na Canada. Katika hotuba yake Mhe. Membe alisisitiza umuhimu wa Wasomi na Wanazuoni kujikita katika Tafiti za Kisayansi ili kuja...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANAYAKAZI WA MAMBO YA NJE

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.)-katikati) kwa pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John Haule (wa tatu kutoka kushoto) na viongozi wengine wakiimba wimbo wa "Solidarity" wakati wa ufunguzi wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Mei, 2014. Mhe. Membe...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI BERNARD MEMBE AFUNGUA MKUTANO MKUU WA UMAKI ZANZIBAR

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akizungumza wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Nne wa Umoja wa Kinamama wa Kikristo (UMAKI) wa Kanisa Angikana Dayosisi ya Zanzibar mjini Unguja jana. Kulia kwake ni Askofu Mkuu mstaafu wa Kanisa Anglikana, John Ramadhan. Picha na John BadiWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (wa pili kulia), akipata maelezo kuhusu bidhaa za ujasiriamali za kikundi cha Umoja wa Kinamama wa Kikristo (UMAKI) wa Kanisa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani