Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MKUU ASHIRIKI TUKIO LA KUVUNJWA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Spika wa Baraza la Wawakilishi, Zubeir Ali Maulid (kulia) na Katibu wa Baraza la Wawakilishi, Raya Issa Musellem  wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Baraza la Wakilishi  kushiriki katika tukio la kuvunjwa kwa Baraza hilo kulikofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt, Ali Mohammed Shein, Juni 20, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Rais wa Zanzibar n a Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KUTOKA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mh. Muhamed Aboud (katikati),akizungumza na mwakilishi wa Wawi CUF,Saleh Nassor Juma kushoto huku Mwakilishi wa Kiembesamaki na Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akisikiliza mazungumzo hayo baada ya mapumziko ya kikao cha Baraza la Wawakilishi kinachoendelea hapa Zanzibar huko Chukwani.MJUMBE wa Baraza la Wawakilishi jimbo Magomeni (CCM) Salmin Awadh Salmin (kushoto),akizungumza na mjumbe wa baraza hilo Ali Mzee Ali...

 

11 years ago

GPL

BARAZA LA WAWAKILISHI, ZANZIBAR LEO

Wawakilishi wakibadilishana mawazo nje ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi kabla ya kuingia ndani ya ukumbi kuanza kwa kikao cha Baraza hilo Mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
Muwakilishi wa Jimbo la Nungwi Haji Mwadini Makame kushoto akibadishana mawazo na Muwakilishi waJimbo la Koani Mussa Ali Hassan nje ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.…
...

 

11 years ago

Michuzi

KUTOKA BARAZA LA WAWAKILISHI,ZANZIBAR LEO

Wawakilishi wakibadilishana mawazo nje ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi kabla ya kuingia ndani ya ukumbi kuanza kwa kikao cha Baraza hilo Mbweni nje ya mji wa Zanzibar. Muwakilishi wa Jimbo la Nungwi Haji Mwadini Makame kushoto akibadishana mawazo na Muwakilishi waJimbo la Koani Mussa Ali Hassan nje ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dk,Mwinyihaji Makame Mwadini akifahamisha jambo alipowasilisha Mpango wa Maendeleo wa...

 

11 years ago

Habarileo

Wawakilishi Zanzibar wahoji Baraza lao

Katibu wa Kamati ya Wawakilishi wa CCM, Salmin Awadh SalminWAKATI Bunge Maalumu la Katiba, likitarajiwa kukutana leo kuamua kura gani itumike katika uamuzi wa mwisho wa kupitisha Katiba itakayopendekezwa kwa wananchi, wawakilishi wanachama wa CCM, wameibuka na kuhoji maoni ya Baraza la Wawakilishi kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.

 

11 years ago

Michuzi

taswira Kutoka Baraza la Wawakilishi Zanzibar


Mkuu wa Shughuli za Serekali Baraza la Wawakilishi Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akitowa hutuba ya uhairishaji wa Baraza la 8, Mkutano wa 15, Kikao cha 11, cha Baraza la Wawakilishi baada ya Kuwasilishwa kwa Ripoti za Kamati za Baraza na kuchagiwa na Wajumbe wa Baraza hilo.ufungaji huo umefanyika jioni  Wajumbe wa Baraza wakimsikiliza Makamo wa Pili wa Rais akihutubia katika uhairishaji wa Baraza jana. Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar  Mhe. Pandu Ameir...

 

5 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA UVUNJAJI WA BARAZA LA 9 LA WAWAKILISHI ZANZIBAR-CHUKWANI LEO

Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  (katikati) akiagana na Spika wa  Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid pamoja na Viongozi mbali mbali baada ya kumalizika kwa sherehe za  kulivunja Baraza la 9 la Wawakilishi Zanzibar,katika Ukumbi wa Baraza hilo leo Chukwani nje ya Mji wa Zanzibar.[Picha na Ikulu]...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI IDDI AFUNGUA MKUTANO WA 18 WA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mh. Pandu Ameir Kificho akiambatana na Makatibu na walinzi wa Baraza hilo wakitoa nje mara baada ya kufungwa kwa Mkutano wa 18 wa Baraza la Wawakilishi Mbweni.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akifunga Mkutano wa 18 wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar uliokuwa ukiendelea katika ukumbi wa Majengo ya Baraza hilo uliyopo Mbweni Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.Aliyepo meza ya juu ni Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mheshimiwa...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU WA BARAZA LA WAWAKILISHI AKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR

Katibu wa Baraza la Wawakilishi Yahya Khamis Hamad akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu shughuli za Mkutano wa 16 wa Baraza la Nane la Wawakilishi utakaoanza tarehe 14 Mei 2014 katika Ukumbi wa Baraza hilo Mbweni nje ya mji wa Zanzibar. Mwandishi wa Habari wa gaazeti la Daly News Issa Yussuf akiuliza maswali katika mkutano na Katibu wa Baraza la Wawakilishi Yahya Khamis Hamad alipokutana na waandishi wa Habari kuzungumzia shughuli za Mkutano wa 16 wa Baraza la Nane la Wawakilishi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani