Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MKUU AZINDUA JARIDA LA FIRST JIJINI LONDON

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na Mwenyekiti na Muasisi wa Kampuni ya Invest Africa ya Uingereza, Bw. Robert Hersov kabla ya mazungumzo yao kwenye hoteli ya Savoy,London Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe Saidi Mwambungu Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama Jarida la  First baada ya kukabidhiwa nakala  ya toleo la  jaridai hilo na Muasisi wake, Rupert Goodman  (kulia) kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo London. Jarida  hilo limesheheni  makala zenye kuinadi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MSTAAFU,MH.FREDERICK SUMAYE AZINDUA ALBAMU MPYA YA ROSE MUHANDO JIJINI DAR

  Mgeni Rasmi katika uzinduzi wa albamu ya muziki wa Injili ,Waziri Mkuu mstaafu.Mh.Frederick Sumaye akionesha albamu ya mwanamuziki nyota wa muziki wa injili hapa nchini,Rose Muhando,iliyoitwa Shikilia Pindo la yesu,mara baada ya kuizindua rasmi mbele ya maelfu ya washabiki na wapenzi wa nyimbo hizo za kiroho ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee,jijini Dar jana.Waziri Mkuu mstaafu.Mh.Frederick Sumaye  akifungua kasha lenye CD, wakati akizundua rasmi albamu ya mwanamuziki nyota wa muziki...

 

5 years ago

Michuzi

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU MH. PINDA AZUNGUMZA NA WATANZANIA LONDON

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Watanzania waishio Uingereza kwenye makazi ya Balozi wa Tanzania nchini humo, Aprili 11, 2015. Kulia kwake ni Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kallaghe. Mtoto Tobias Kallaghe ambaye ni mtanzania anayeishi na wazazi wake nchini Uingereza akisamasasoti nyumbani kwao, eneo la High gate London Aprili 11, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kallaghe na Binti wa Balozi huyo, Rebecca...

 

10 years ago

GPL

NAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA(TAMISEMI)MH.KASSIM MAJALIWA AZINDUA RASMI KAMPENI YA FISTULA MWISHONI MWA WIKI‏

Naibu waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)Mh. Kassim Majaliwa (Kulia)akikabidhiwa hundi yanye thamani ya shilingi milioni 100/- na Meneja Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Grace Lyon, kwa niaba ya hospitali ya CCBRT kwa ajili ya kampeni ya kutokomeza Fistula nchini  wakati wa Maadhimisho ya Kimataifa ya Fistula yaliyofanyika  kitaifa  katika Wilaya ya Mbogwe  mkoani...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa afya ahudhuria Kongamano la AFRIKA HEALTHCARE SUMMIT 2015 JIJINI LONDON

Waziri wa Afya na ustawi wa jamii Dkt. Seif S.Rashid (MB) mwenye tai nyekundu mstari wa mbele  akiwa katika sherehe ya ufunguzi ya kongamano hilo. Katika  ni msajili wa baraza la wafamasia lililo chini ya wizara ya afya na ustawi wa jamii Bi.Elizabeth Shekelaghe na wa kwanza kushoto ni Dkt.Mariam Ongalla, mratibu wa kitengo cha "Public Private Partinership" kutoka wizara ya Afya na ustawi wa Jamii.

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Pinda amwakilisha Rais Kikwete kwenye mjadala wa uwekezaji Afrika- London

PG4A6255

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza kwenye mjadala  kuhusu fursa za uwekezaji  barani Afrika kwenye hoteli ya Savoyy , London, Oktoba 20/10/14.Wengine pichani ni Rais Yoweri Museveni wa Uganda Rais wa Gahana,John Mahama na Rais wa Rwanda Paul Kagame. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PG4A6276

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Thabit Mwambungu (kulia) na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kallage  Wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza kwenye mjadala  kuhusu fursa za uwekezaji ...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU PINDA AZINDUA JUKWAA LA ARDHI TANZANIA

 Waziri Mkuu Mizengo  Pinda akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa Jukwaa la Ardhi Tanzania,Kauli mbiu  yake ni Ardhi yetu ,Watu wetu na Urithi wetu.  Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizindua Jukwaaa la Ardhi Tanzania katika ukumbi wa PSPF .kutoka kushoto ni Muhashamu Askofu mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania ,Alex Malasusa na kulia na Shekhe Ally kutoka Mkoa wa Tanga .      Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Askof Alex Malasusa akimkaribisha Waziri...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani