Wizara ya Nishati na Madini yapata tuzo ya Kimataifa
![](http://2.bp.blogspot.com/-VEIoIIYbBIU/VNu--ctZIuI/AAAAAAAHDKQ/GcfRhU4sc6s/s72-c/unnamed%2B(64).jpg)
Na Teresia Mhagama Wizara ya Nishati na Madini imepata Tuzo ya Ki¬mataifa ya mwaka ya Maende¬leo ya Udhibiti wa Sekta ndogo ya Mafuta na Gesi. Tuzo hiyo ya mwaka 2014 inayotolewa na Kampuni ya Kimataifa ya Wildcat International, ya nchini Marekani kupitia machapisho yake maarufu Duniani ya The Oil & Gas Year (TO&GY), imekabidhiwa rasmi jijini Dar es Salaam kwa Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene ambaye alipokea Tuzo hiyo kwa niaba ya Wizara. Tuzo hiyo, iliyotolewa na Mratibu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania16 Feb
Wizara ya Nishati na Madini yang’ara kimataifa
Na Teresia Mhagama
WIZARA ya Nishati na Madini, imepata tuzo ya ki¬mataifa ya mwaka ya Maendeleo ya Udhibiti wa sekta ndogo ya mafuta na gesi.
Tuzo hiyo ya mwaka 2014 inayotolewa na Kampuni ya Kimataifa ya Wildcat International ya nchini Marekani kupitia machapisho yake maarufu duniani ya The Oil & Gas Year (TO&GY), imekabidhiwa rasmi mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam kwa Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene kwa niaba ya wizara hiyo.
Tuzo hiyo iliyotolewa na Mratibu wa...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-srS5LIZi_z4/VNx36ir7zjI/AAAAAAADNfc/rYMHO3gUfY4/s72-c/picha%2Bmoja.jpg)
Wizara ya Nishati na Madini imepata Tuzo ya KiÂmataifa
![](http://2.bp.blogspot.com/-srS5LIZi_z4/VNx36ir7zjI/AAAAAAADNfc/rYMHO3gUfY4/s1600/picha%2Bmoja.jpg)
Na Teresia Mhagama
Wizara ya Nishati na Madini imepata Tuzo ya Kimataifa ya mwaka ya...
10 years ago
MichuziWIZARA YA NISHATI NA MADINI YANG’ARA KATIKA MAONESHO YA KIMATAIFA YA SABASABA
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-3-IltzVBeoY/VY0lo-gnoVI/AAAAAAAHkNs/1xjxHPJnidg/s72-c/IMG_3318.jpg)
WIZARA YA NISHATI NA MADINI KUUNDA KITENGO MAALUMU KWAAJILI YA USHIRIKI WA WATANZANIA KATIKA SERA YA NISHATI NA MADINI
![](http://4.bp.blogspot.com/-3-IltzVBeoY/VY0lo-gnoVI/AAAAAAAHkNs/1xjxHPJnidg/s640/IMG_3318.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-eP1noyCn96g/VY0lnwv1nfI/AAAAAAAHkNg/m_fD72zB-aI/s640/IMG_3291.jpg)
10 years ago
VijimamboKANUSHO KUTOKA WIZARA YA NISHATI NA MADINI KUHUSU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO
![](http://4.bp.blogspot.com/-2TdsXVCxyBM/VKLEoGpQUWI/AAAAAAADK_Q/fLIBFnrqdds/s1600/Coat_of_arms_of_Tanzania.svg.png)
Utendaji wa Wizara chini ya Waziri wa...
9 years ago
Dewji Blog14 Dec
Wizara ya Nishati na Madini yazindua rasmi mfumo wa kielektroniki wakulipia leseni za madini
Na Jacquiline Mrisho- MAELEZO
Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini imezindua mfumo wa malipo ya ada za leseni za madini kwa njia ya mtandao ujulikanao kama Online Mining Cadastre Transactional Portal (OMCTP).
Akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, Kamishna Msaidizi wa Madini anayeshughulikia leseni Bw. John Nayopa amesema kuwa mfumo huu wa kielektroniki unawawezesha wateja waliosajiliwa kutuma maombi ya leseni, kuhakiki taarifa za leseni wanazomiliki pamoja na...
10 years ago
MichuziMH. KITWANGA AKUTANA NA WATENDAJI WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI NA TAASISI ZINAZOSIMAMIA SEKTA YA MADINI NCHINI
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-qeiSUHijcXA/VHQULVaqYeI/AAAAAAAGzSQ/TogOsb1rBIA/s72-c/Wadau%2B1.jpg)
WIZARA YA NISHATI NA MADINI YAKUTANA NA WADAU WA MADINI YA SHABA
Wizara ya Nishati na Madini imekutana na wadau wa madini ya Shaba katika mkutano wa siku mbili ulioanza tarehe 24- 25 Novemba, 2014 na kuwashirikisha wafanyabiashara wa madini hayo, wachimbaji wadogo, viwanda vya kuyeyusha madini ya Shaba, Makamishana Wasaidizi wa Madini kutoka Kanda mbalimbali nchini pamoja na baadhi ya Maafisa Madini Wakaazi.
Akifungua mkutano huo, unaolenga kujadili masuala mbalimbali yanayohusu sekta ndogo ya madini ya Shaba na namna ya...
11 years ago
Michuzi11 Jul