Wolper Afunguka Kuhusu Mitindo, Kipindi cha TV na Kusimama Kufanya Filamu
Kama wewe ni moja ya watu wanaomfuatilia kwenye mtandao picha wa Instagram, utakuwa umejionea ni kwa kiasi gani staa mrembo wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper anapenda MITINDO.
Akizungumza na mtandao wa bongo 5, ambao ulitaka kujua mapenzi yake kwenye fashion na kama anapata changamoto kuhakikisha anapendeza muda wote.
“Ni hobby sana sana, hakuna challenge kwasababu kila mtu anapenda kitu chake,” amesema Wolper. “Mimi napenda kuvaa.”
Katika hatua nyingine Wolper amesema ameshafikiria...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies10 Sep
JB Afunguka Haya Kuhusu Marehemu Adam Kuambiana na Ujio wa Filamu Mpya
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram staa wa Bongo Movies , Jacob Stephen ‘JB’ ameendelea kusifia kipaji cha sanaa alichokuwanacho marehenu Adam Kuambiana ambaye atakuwepo kwenye filamu mpya itakayotoka wiki ijayo inayokwenda kwa jina la mahabusi aliyoicheza kabla ya kufariki dunia.
“Moja kati ya waigizaji ambao sitaacha kuwasifia ingawa tayari ametangulia mbele za haki....Adam Kuambiana....ana sauti, ana hisia na anajua....Yeye pamoja na dada mmoja anayeitwa Bridgete. aliyewahi...
10 years ago
GPL19 Feb
10 years ago
Michuzi
RFB yafanikiwa kufanya maboresho ya barabara kwa kiwango cha lami katika kipindi cha miaka kumi ya uongozi wa JK

Bodi ya Mfuko wa Barabara nchini(RFB) imefanikiwa kufanya maboresho ya barabara kwa kiwango cha lami katika kipindi cha miaka kumi ya uongozi wa Serikali ya awamu ya nne wa Mhe. Jakaya Kikwete.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam Jana Bw. Joseph Haule amesema kuwa matengenezo hayo yamefanikisha ujenzi wa barabara kuu zinazounganisha mikoa mbalimbali nchini kukamilika kwa asilimia 89 huku zile za Wilaya na Miji kwa asilimia 57.
“ kazi...
11 years ago
Michuzi05 Mar
10 years ago
Mzalendo Zanzibar30 Sep
Kipindi cha Jukwaa langu kuhusu uchaguzi wa Tz oktoba 25
Hapa Studio ni Mubelwa Bandio Bonyeza Audio
The post Kipindi cha Jukwaa langu kuhusu uchaguzi wa Tz oktoba 25 appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
Michuzi07 Jun