Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YANGA NI WATAMU KAMA CHIKOROBO YAWAGEUZA JKT RUVU KUWA VICHENCHEDE

Kiungo mwenye kasi wa Yanga, Simon Happygod Msuva amefikisha mabao 11 baada ya kufunga mawili leo.Msuva amefunga bao lake la 11 katika mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya JKT Ruvu kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar.Msuva alianza kufunga bao la katika dakika 34 kwa mkwaju wa penalti na kufanikiwa kumfikia mshambuliaji Didier Kavumbagu wa Azam FC. Lakini baadaye akafunga bao la tatu kwa Yanga leo na la pili kwake hivyo kufikisha mabao 11.Kavumbagu raia wa Burundi amekuwa akiongoza kwa ufungaji...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

YANGA WALIVYOIZIMA JKT RUVU JANA

Baadhi ya wachezaji wa Yanga wakishangilia bao lao la kwanza lililofungwa na Kelvin Yondani (wa pili kulia). Jaja (katikati) akipambana na ngome ya JKT…

 

9 years ago

TheCitizen

SOCCER: JKT Ruvu out to stop Yanga’s juggernaut

JKT Ruvu face a tall order to stop Young Africans juggernaut in a Vodacom Premier League match planned for the 60,000-seater National Stadium today.

 

10 years ago

Michuzi

YANGA YAIPIGISHA KWATA JKT RUVU, YAICHAPA 2-0



Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao lililofungwa na Kelvin Yondani katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo.

Hadi filimbi ya mwisho Yanga 2, JKT Ruvu.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

9 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI LIGI KUU BARA : JKT Ruvu iache kuishi kama Mlima Kilimanjaro

Maisha lazima yabadilike. Wakati mwingine hata jiwe husogea kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Inategemea kama limepigwa teke na mwanadamu, au limetumika kwa kuokotwa na kumrushia ndege aliyekaa katika mti.

 

11 years ago

GPL

YANGA YAFANYA MAUAJI TAIFA: YAINYUKA JKT RUVU 5-1

Mrisho Ngasa (kulia) na Frank Domayo wakishangilia ushindi wa leo. Didier Kavumbagu wa Yanga akijaribu kuwatoka wachezaji wa JKT Ruvu.…

 

11 years ago

Michuzi

YANGA SC NA SHOOTING YAINGIZA FEDHA NYINGI KULIKO SIMBA NA JKT RUVU


Na Boniface Wambura, Dar es Salaam MECHI za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) zilizohusisha timu za Yanga na Simba, na kuchezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki zimeingiza jumla ya sh. 101,165,000.Yanga ambayo iibugiza Ruvu Shooting mabao 7-0 mechi yake iliingiza sh. 68,450,000 kutokana na washabiki 11,972 kwa viingilio vya sh. 5,000, sh. 15,000 na sh. 20,000.Katika mechi hiyo kila klabu ilipata mgao wa sh. 15,687,488 wakati Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) iliyolipwa kutokana na...

 

10 years ago

Michuzi

YANGA YAIPIGISHA KWATA JKT RUVU UWANJA WA TAIFA LEO,YAICHAPA BAO 3 - 1

 Simon Msuva (kushoto) akimkumbatia Mrisho Ngasa huku Danny Mrwanda. Kulia ni Danny Mrwanda baada ya kuifungia kimu yake bao la tatu ambapo Yanga ilishinda 3-1. (Picha zote na Francis Dande) Mshambuliaji wa Yanga, Danny Mrwanda akichuana na Damas Makwaya wa JKT Ruvu (kushoto), katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Taifa leo.Msuva akimtoka beki wa JKT Ruvu, Mohamed Faki akiambaa na mpira. Mrisho Ngasa (kushoto) akichuana na Mohamed Faki.

BOFYA HAPA KUONA PICHA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani