Yanga yaachana na Zuttah
YANGA imeachana na beki Joseph Zuttah na leo anatarajia kurudi kwao Ghana.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo16 Aug
Yanga: Hatutamrudisha Zuttah kwao
KLABU ya Yanga imesema haina mpango wa kumrejesha Joseph Zuttah kwao, isipokuwa wanaendelea na mazungumzo na baadhi ya timu za Zimbabwe kuona kama zitamchukua.
9 years ago
StarTV19 Aug
YANGA SC YAACHANA NA DILUNGA ‘KWA HERI’, KIKOSI CHAENDELEA NA MAKAMUZI MBEYA
YANGA SC imeachana na kiungo wake Hassan Dilunga, ambaye anahamia Stand United ya Shinyanga.
Katibu wa Yanga SC, Dk. Jonas Tiboroha ameiambia BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE asubuhi ya leo kwamba, wamefikia makubaliano na mchezaji huyo aliyesajiliwa msimu uliopita kutoka Ruvu Shooting kuvunja Mkataba bila masharti.
Hassan Dilunga sasa si mchezaji wa Yanga SC tena
WALIOTOKA NA KUINGIA YANGA SC
Waliotemwa; Hassan Dilunga, Nizar Khalfan, Danny Mrwanda, Said Bahanuzi, Hamisi Thabit, Omega Seme na...
9 years ago
Habarileo20 Aug
Azam yaachana na kocha
ZIKIWA zimesalia takriban siku mbili kabla ya mechi ya ngao ya jamii dhidi ya Yanga, Azam imeachana na kocha msaidizi George Nsimbe baada ya kufikia makubaliano. Akizungumza jijini jana, Ofisa habari wa Azam FC, Jafar Iddi alithibitisha kuondoka kwa Nsimbe na kusema nafasi yake imechukuliwa na Romano aliyekuwa timu B.