YAWEKWA WAZI, KUMBE ANAYETUHUMIWA KUMBAKA SHEMEJI YAKE NI MUME WA FLORA MBASHA
![](http://api.ning.com/files/ToQMaI9f*6IZBKM6udfXmS98RL7SPJYlgi7tR*1qgsLFywTPkGncasY0SZoD24pC5Ppv1XNQhVPVSiEgWyTGFJtXIcs-3mwI/florahmbashanamumewe.jpg)
JESHI la Polisi Mkoa wa Ilala jijini Dar es Salaam linamsaka kwa udi na uvumba Emmanuel Mbasha (pichani) ambaye ni mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili nchini, Flora Mbasha kwa madai ya kumbaka shemeji yake mwenye miaka 17 ambaye ni yatima.
Taarifa za tukio hilo ziliripotiwa Jumatatu saa 12 jioni katika Kituo cha Polisi Tabata (Tabata Shule) na kufunguliwa kesi yenye Kumbukumbu Na. TBT/RB/319/2014 na ya Jalada la Uchunguzi Na.TBT/IR/1865/2014, zikimtuhumu mwanamume huyo kwamba...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-dV1tnoxKrQQ/VaSWIF1dmKI/AAAAAAAAxrs/hJQjTvEPGQ0/s72-c/ema%2Bmbasha.jpg)
KAUMBUKA! MUME wa FLORA MBASHA Akutwa na Hatia ya Kesi ya Ubakaji wa Shemeji Yake!
![](http://3.bp.blogspot.com/-dV1tnoxKrQQ/VaSWIF1dmKI/AAAAAAAAxrs/hJQjTvEPGQ0/s640/ema%2Bmbasha.jpg)
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala imesema mfanyabiashara na muimbaji wa muziki wa injili Emmanuel Mbasha ana kesi ya kujibu katika shtaka linalomkabili la ubakaji linalomkabili.Katika shtaka hilo Mbasha anadaiwa kumbaka binti mwenye umri wa miaka 17 (jina linahifadhiwa) ambaye ni shemeji yake.Mbele ya Hakimu Flora Mjaya, mwendesha Mashtaka Munde Kalombola alidai mahakama imemkuta Mbasha na hatia baada ya kupitia ushahidi wa pande zote mbili.Mbasha ambaye ni mume wa muimbaji maarufu wa muziki wa...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-RwgvJ_oE1-4/VPldz3-K1sI/AAAAAAAApiA/tdqT9Gug2dQ/s72-c/kumbaka.jpg)
Emmanuel Mbasha Amwaga Machozi Mahakani..Sakata la Kumbaka Shemeji Yake
![](http://4.bp.blogspot.com/-RwgvJ_oE1-4/VPldz3-K1sI/AAAAAAAApiA/tdqT9Gug2dQ/s640/kumbaka.jpg)
11 years ago
CloudsFM29 May
MUME WA MWANAMUZIKI WA NYIMBO ZA INJILI ADAIWA KUMBAKA SHEMEJI YAKE WA MIAKA 17
Mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili, (jina tunalihifadhi kwa sasa), anatuhumiwa kumbaka shemeji yake mdogo (17).
Taarifa za tukio hilo ziliripotiwa juzi saa 12 jioni katika Kituo cha Polisi Tabata (Tabata Shule), zikimtuhumu mwanamume huyo kwamba alimbaka binti huyo mara tatu na kumsababishia maumivu makali.
Binti huyo alifika katika kituo hicho cha polisi akiwa na ndugu zake wawili ambao walilalamika kwamba kulikuwa na jitihada kubwa kutoka upande wa mtuhumiwa wa kuzima kesi hiyo.
...
11 years ago
Habarileo18 Jun
Mume wa Flora Mbasha kizimbani
MUME wa Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha (32) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka mawili ya ubakaji.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MUME WA FLORA MBASHA APEWA DHAMANA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MjUiWVyv*JLXEq3k2YQYcLuDSOAgLtZuLngx1zkseMC565ttMS2b8lhuxkLqc6Kmo8zydNq1wOP1fJK-Pf-svFOoUPVc1VPt/flora.jpg)
MUME WA FLORA MBASHA ASAKWA KWA UBAKAJI
10 years ago
Mtanzania17 Apr
Daktari: Mbasha hakubaka shemeji yake
![Emmanuel Mbasha](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Emmanuel-Mbasha-300x188.jpg)
Emmanuel Mbasha
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
VIPIMO vya kimaabara alivyofanyiwa binti wa miaka 17 ambaye anadaiwa kubakwa na mfanyabiashara na mwimbaji wa muziki wa injili, Emmanuel Mbasha, havijaonyesha kama alifanyiwa kitendo hicho.
Ushahidi huo umetolewa jana na daktari Migole Mtuka wa Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala.
Mbele ya Hakimu Flora Mjaya, Dk. Mtuka alisema Mei 26, mwaka jana, binti huyo – ndugu wa mwimbaji wa nyimbo za injili, Flora...