Yemi alade kaisambaza hii single mpya aliyoimba kwa kiswahili..(+Audio)
Ni headlines za msanii kutoka Nigeria, Yemi Alade ambaye time hii ameamua kutuletea hii single ya ‘Na Gobe’ (Swahili Version) ambayo ameimba kwa lugha ya kiswahili ili watu wake wa East Africa waweze kumuelewa vizuri zaidi. Kukutana nayo bonyeza play hapa chini ikupeleke moja kwa moja, pia usiache kuniandikia maoni yako baada ya kuisikiliza version […]
The post Yemi alade kaisambaza hii single mpya aliyoimba kwa kiswahili..(+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.
MillardAyo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL10 Sep
10 years ago
GPL08 Oct
9 years ago
Bongo525 Nov
Video: Yemi Alade kuandika wimbo wa Kiswahili?
Kiswahili ni lugha isiyopingika kwa sasa.
Miaka ya hivi karibuni wasanii wengi kutoka kwenye nchi zisizozungumza Kiswahili wakiwemo Ice Prince, Mafikizolo, KCEE na wengine wamechomeka Kiswahili kwenye ngoma zao.
Huenda hitmaker wa Johnnie, Yemi Alade naye akafuata.
Muimbaji huyo amepost kipande kifupi cha video kwenye Instagram akiimba mashairi ya Kiswahili na kuandika: When you wake up thinking of the swahili @bienaimesol taught you… #forMySwahilispeakingFans Score me over 10.”
Anadai...
9 years ago
MillardAyo23 Dec
Mabibi na Mabwana Quick Rocka katuletea hii single mpya ‘Queen’ isikilize hapa,…(+Audio)
Ni time ya kusikiliza hii single mpya ya msanii kutokea 87.8 Mbeya City, Quick Rocka wimbo unaitwa Queen. Nakukaribisha kwenye link hii mtu wangu, unaweza kuisikiliza kwenye link ya Mkito HAPA..>>> Quick Rocka ‘Queen’ Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa […]
The post Mabibi na Mabwana Quick Rocka katuletea hii single mpya ‘Queen’ isikilize hapa,…(+Audio) appeared first on...
9 years ago
MillardAyo17 Dec
TID katuletea hii single mpya ‘Banjo’ amewashirikisha Country Boy, Bill Nas….(+Audio)
Ni time ya kuisikiliza hii single mpya ya TID iitwayo ‘Banjo’ akiwa amewashirikisha Country Boy na Bill Nas. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye […]
The post TID katuletea hii single mpya ‘Banjo’ amewashirikisha Country Boy, Bill Nas….(+Audio) appeared first on...
9 years ago
Global Publishers20 Dec
Muonekano mpya wa Yemi Alade
STAA wa muziki nchini Nigeria, Yemi Alade ameachia picha zake mpya zinazoonyesha muonekano wake wa sasa.
Picha hizo zimepigwa na mpiga picha Kelechi Amadi-Obi.
9 years ago
GPL23 Sep
10 years ago
GPL14 Mar
10 years ago
GPL15 Jun