ZANZIBAR BEACH SOCCER KUCHEZWA KENDWA ROCK'S HOTEL BEACH
![](http://2.bp.blogspot.com/-CUA-A5T1Fz0/U8mFwzT0_sI/AAAAAAAF3kI/dGURx-gOthY/s72-c/unnamed+(22).jpg)
Na Andrew ChaleTAASISI ya Mwangaza wa buradani Zanzibar (Zanzibar Light Entertainment ) ya mjini Unguja, Zanzibar, Imemtangaza rasmi Hotel ya Kendwa Rocks kuwa eneo litakapofanyika michuano m aalum ya soka la ufukweni lijulikanayo kama (Zanzibar Beach Soccer Championship Bonanza) linalotarajiwa kufanyika Agosti Mbili mwaka huu.
Kwa mujibu wa taarifa yao hiyo kwa vyombo vya habari, iliyotolewa na Mwandaaji wa michezo hiyo, Muslim Nassor ‘Jazzphaa’ ilieleza kuwa, kamati ya...
Michuzi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania