ZITTO KABWE AWAHUTUBIA WAKAZI WA MKOA WA KAGERA KWA MARA YA KWANZA LEO
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, Akifurahia mara baada ya kutua Bukoba na tayari kuwahutubia wakazi wa mji wa Bukoba leo wakati wa mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Mashujaa/Uhuru Platform Bukoba leo Jumatatu tarehe 15 june, 2015. Kiongozi huyu ambaye amefuatana na viongozi wenzake wa juu wa chama hicho, yuko kwenye ziara ya kukitangaza chama na sera mpya ya azimio la arusha lenye usasa. Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akiongea na wakazi wa Mji wa Bukoba...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo15 Jun
ZITTO KABWE AWAHUTUBIA WAKAZI WA MKOA WA TABORA

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwahubia wakazi wa mji wa Tabora juzi wakati wa mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya ,Town School, mara baada ya kuzindua Azimio la Tabora lililouhishwa kutoka azimio la Arusha.

Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Samson Mwigamba, akiwahutubia wakazi wa mji wa Tabora juzi wakati wa mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya ,Town School, mara baada ya kuzindua Azimio la Tabora lililouhishwa kutoka azimio la Arusha.

Mwenyekiti wa Chama cha ACT...
10 years ago
Michuzi15 Jun
KIONGOZI WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO, ZITTO KABWE AWAHUTUBIA WAKAZI WA MKOA WA TABORA



10 years ago
Michuzi20 Jun
KIONGOZI WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO, ZITTO KABWE, AWAHUTUBI WAKAZI WA MJI WA MPANDA




10 years ago
Michuzi.jpg)
msikilize mwenyekiti wa PAC MHE ZITTO KABWE AKISOMA RIPOTI YA ESCROW BUNGENI SASA KUPITIA KWANZA JAMII RADIO
.jpg)
ama jiunge na aitv mobile uone live!
11 years ago
Michuzi.jpg)
utulivu watawala bunge la katiba mjini dodoma leo - kwa mara ya kwanza toka lizinduliwe
.jpg)
.jpg)
.jpg)

10 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AHITIMISHA ZIARA YAKE MKOA WA KAGERA,LEO KUVAMIA MKOA WA GEITA

Katibu Mkuuu wa CCM Abdulrahman Kinana amehitimisha ziara yake hiyo ya kukagua...
5 years ago
Michuzi
ZITTO KABWE AHUKUMIWA LEO DHIDI YA MASHTAKA MATATU

Zitto amehukumiwa leo mahakamani hapo baada ya kutiwa hatiani katika mashitaka matatu yaliyokuwa yanamkabili.
Hukumu hiyo imesomwa leo Mei 29, 2020 na Hakimu Mkazi Mkuu Huruma Shaidi baada ya kuridhika na ushahidi wa mashahidi 15 wa upande wa mashtaka na kuzingatia utetezi wa Zitto...
11 years ago
Michuzi.jpg)
JK amjulia hali mama mzazi wa Zitto Kabwe leo
.jpg)
11 years ago
GPL
TASWIRA ZA MKUTANO WA ZITTO KABWE KIGOMA MJINI LEO