Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


13 kufadhiliwa shahada ya uzamili

Wanafunzi 13 wa Chuo Kikuu cha Uongozi na Sayansi Tanzania (UMAST), waliopata daraja la kwanza wamepata ufadhili wa kusomeshwa masomo ya shahada ya uzamili na watapewa ajira ya kufundisha chuoni hapo

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

MAZNAT: Mpambaji maharusi wenye shahada ya uzamili

>Tangu utoto wangu niliamini kuwa mikono yangu inaweza kufanya kazi na kuniwezesha kuendesha maisha hivyo nina kila sababu ya kuitumia kadiri Mungu anavyoniwezesha.

 

9 years ago

Michuzi

IRELAND YAWADHAMINI WATANZANIA 14 KWA SHAHADA YA UZAMILI

Balozi wa Ireland nchini Tanzania, Bi. Fionnuala Gilsenan, akitoa hotuba yake wakati wa maonyesho ya sayansi kwa wanafunzi wa sekondari yanayoandaliwa na shirika la YST ambayo pia Ubalozi wake unadhamini kila mwaka.
Na Daniel Mbega

UBALOZI wa Ireland nchini Tanzania, umewapatia scholarship Watanzania 14 ili kusoma kozi mbalimbali za shahada ya uzamili (masters) na huku wanne kati yao wakienda kusoma vyuo vya nje ya nchi hasa University College Dublin, Dublin Institute of Technology na National...

 

9 years ago

Vijimambo

IRELAND YAWAKABIDHI SCHOLARSHIP WATANZANIA 14 KUSOMEA SHAHADA YA UZAMILI

 Balozi wa Ireland nchini Tanzania, Bi. Fionnuala Gilsenan, akizungumzia kuhusu ufadhili kwa Watanzania wanaokwenda vyuo mbalimbali vya ndani na nje ya nchi. Sherehe hizo zimefanyika Alhamisi, Agosti 20, 2015 kwenye ofisi za ubalozi huo Masaki jijini Dar es Salaam. (Picha na habari na Daniel Mbega wa www.brotherdanny.com).
Baadhi ya wanufaika wa ufadhili huo wakimsikiliza Balozi wa Ireland (hayuko pichani). Baadhi ya wafanyakazi na wageni waalikwa wakimsikiliza Balozi Gilsenan.
 Deogratias...

 

10 years ago

Michuzi

BG TANZANIA KUZINDUA UDHAMINI WA SHAHADA YA UZAMILI YA SAYANSI YA MAFUTA NA GESI - CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM

BG Tanzania imetangaza  kutoa udhamini kwa wanafunzi 13 wa shahada ya uzamili  ya sayansi ya mafuta na gesi (MSc. in Petroleum Geology) itakayotolewa katika Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Idara ya  Jiolojia  kwa mwaka wa masomo 2014/2015. Udhamini huu utahusisha malipo ya gharama za ada,  vitabu, pesa ya kijikimu na utafiti kwa muda wa miezi 18.
Katika hafla ya  uzinduzi huu, Mgeni rasimi alikuwa  Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh.  Mizengo Kayanza Pinda. Wageni wengine walio...

 

9 years ago

Michuzi

Watanzania wahitimu shahada ya uzamili kutoka taasisi ya kimataifa international institute of social studies ya chuo kikuu cha Erasmus cha nchini uholanzi.

Watanzania wahitimu shahada ya uzamili kutoka  taasisi ya kimataifa International Institute of Social Studies ya chuo kikuu cha Erasmus cha nchini uholanzi.Kutoka kushoto ni Mama  Agnes mtumishi wa ubalozi wa Tanzania nchini uholanzi,   Shamy Chamicha mhitimu shahada ya uzamili ya uchumi, Balozi wa tz nchini uholanzi mh.Irene kasyanjo, Ruth John  mhitimu shahada ya uzamili ya uhakiki wa chakula na mazingira, Jackson Bulili mhitimu shahada ya uzamili Uchumi na Rector wa taasisi hiyo mhe. Inge...

 

11 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WANAOCHUKUA MASOMO YA SHAHADA YA UZAMILI NA UZAMIVU KATIKA RELI KUTOKA CHUO KIKUU CHA SOUTHWEST JIATONG CHA NCHINI CHINA WATEMBELEA WIZARA YA UCHUKUZI LEO

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Bi. Monica Mwamunyange akibadilishana kadi na Profesa Liu Xueyi kutoka Chuo kikuu cha Southwest Jiatong, wakati mkufunzi huyo na wanafunzi wa chuo hicho walipotembelea wizara ya Uchukuzi leo mchana kujifunza na kubadilishana uzoefu katika masuala ya reli hasa reli ya mwendo kasi.

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Bi Monica Mwamunyange, akifafanua jambo kwa Wakufunzi na wanafunzi wanaochukua shahada za Uzamili na Uzamivu katika Reli kutoka Chuo...

 

10 years ago

Habarileo

Vijana zaidi kufadhiliwa mafunzo ya gesi

SERIKALI imesema kuwa itaendelea na juhudi zake za kudhamini vijana kupata elimu ya mafuta na gesi wakidhi soko la ajira miaka ijayo.

 

11 years ago

Habarileo

Wasichana nchini kuendelea kufadhiliwa masomo ya sayansi

SERIKALI imeahidi kuendelea kutoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi wa kike, wanaosoma masomo ya sayansi katika ngazi ya uzamili na uzamivu.

 

10 years ago

Michuzi

MDAU NGULI CHIEF MKWAWA ALAMBA NONDOZZZ INGINE YA UZAMILI KUTOKA CHUO KIKUU HURIA

MDAU NGULI WA GLOBU YA JAMII MHANDISI MKWAWA AKA CHIEF AMELAMBA NONDOZZZ YA SHAHADA YA UZAMILI KTK UONGOZI WA BIASHARA-MBA (FINANCE) KUTOKA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA. HII NI SHAHADA YA PILI YA UZAMILI KUTUNUKIWA MWAKA HUU WA 2014, BAADA YA ILE YA MASTER OF ENGINEERING SCIENCE (METALLURGY) KUTOKA CHUO KIKUU CHA CURTIN (WASM) NCHINI AUSTRALIA MWEZI AUGUST 2014. Mhandisi Mkwawa akivalishwa shada la maua na mai waifu  wake mamaa Warda muda mfupi baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani