36 WAUAWA NA AL SHABAB KENYA
![](http://api.ning.com:80/files/jNrZ7iSqIta4N4p0pyqsEICn296R3AC2O6om-OYFaW*F569l5nOMXyAKnWzvRoF2jvHC8Gl9dkzql6lISjoBnF4hldPWcObp/Alshabaab.jpg)
Baadhi ya Wanamgambo wa Al Shabab. TAKRIBANI watu 36 wanahofiwa kufariki katika shambulio lililotokea kwenye machimbo ya kokoto karibu na mji wa Mandera kaskazini mwa Kenya. Shirika la Msalaba Mwekundu nchini Kenya limethibitisha. Wakazi wa eneo hilo wamesema waathirika wote wa tukio hilo ni watu wasio Waislam ambao walikuwa wakifanya kazi katika machimbo hayo yaliyopo Kormey kilomita 15 kutoka mji wa Mandera Kaskazini mwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili30 Jul
Al shabab watatu wauawa Kenya
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/79646000/jpg/_79646781_79644097.jpg)
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/76943000/jpg/_76943372_76943102.jpg)
VIDEO: Is al-Shabab recruiting in Kenya?
10 years ago
BBC10 Jul
Kenya police freed from al-Shabab
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/80740000/jpg/_80740119_dscf2539.jpg)
Kenya teachers strike over al-Shabab
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/73961000/jpg/_73961561_tv019828660photoshopped.jpg)
'Al-Shabab recruiter' shot in Kenya
10 years ago
BBCSwahili16 Mar
Mshukiwa wa Al Shabab akamatwa Kenya
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/81734000/jpg/_81734034_somalia_militant_phone_get.jpg)
'Al-Shabab' kill four in Kenya attack
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/82172000/jpg/_82172954_d3765249-140b-4473-93dc-a18df61f6973.jpg)