Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


A tribute to Dr Myles Munroe

Life is so bitter sweet. Whilst I am one of the few who feels that Dr Myles Munroe didn’t “die empty”, I am also not overwhelmed by a gripping sense of loss and dismay.

TheCitizen

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

TheCitizen

Myles Munroe: Preacher who inspired thousands

Myles Munroe was a pastor, best-selling author and motivational speaker who wielded a huge influence on millions of evangelical Christians around the world.

 

10 years ago

GPL

DR. MYLES MUNROE AFANYA MKUTANO WA PILI SERENA HOTELI JIJINI DAR

Mzungumzaji maarufu wa mambo ya uongozi na biashara Dr. Myles Munroe kutoka Nassau,Bahamas akiendesha mkutano wa wa viongozi wa serikali, wafanya biashara na Viongozi wa makanisa. Mkurugenzi Mkuu wa Global Publishers and General Enterprises Limited, Eric Shigongo (wa pili kushoto) akiwa na mke wake, Veneranda Shigongo (kushoto) wakiendelea kumsikiliza mzungumzaji maarufu… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Dkt. Bilal akutana na Rais wa MMI bingwa wa masuala ya utawala na uongozi kutoka Bahamas, Dkt. Myles Munroe

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha, Rais wa MMI Bingwa wa Masuala ya Utawala na Uongozi kutoka Bahamas, Dkt. Myles Munroe, na ujumbe wake wakati walipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, juzi Oktoba 20, 2014 akiwa na ujumbe wake na kufanya mazungumzo. (Picha na OMR).

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Rais wa MMI Bingwa wa Masuala ya Utawala na...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. BILAL AKUTANA NA RAIS WA MMI BINGWA WA MASUALA YA UTAWALA NA UONGOZI KUTOKA BAHAMAS, DKT. MYLES MUNROE

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha, Rais wa MMI Bingwa wa Masuala ya Utawala na Uongozi kutoka Bahamas, Dkt. Myles Munroe, na ujumbe wake wakati walipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, juzi Oktoba 20, 2014 akiwa na ujumbe wake na kufanya mazungumzo.  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Rais wa MMI Bingwa wa Masuala ya Utawala na Uongozi kutoka...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA RAIS WA MMI BINGWA WA MASUALA YA UTAWALA NA UONGOZI KUTOKA BAHAMAS, DKT. MYLES MUNROE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha, Rais wa MMI Bingwa wa Masuala ya Utawala na Uongozi kutoka Bahamas, Dkt. Myles Munroe, na ujumbe wake wakati walipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, juzi Oktoba 20, 2014 akiwa na ujumbe wake na kufanya mazungumzo.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Rais wa MMI Bingwa wa Masuala ya Utawala na Uongozi kutoka Bahamas,...

 

10 years ago

GPL

DK MUNROE AFARIKI DUNIA KWA AJALI

Dk. Myles Munroea akiwa na mkewe Ruth enzi za uhai wao. KIONGOZI wa Bahamas Faith Ministries, Dk. Myles Munroe, mkewe Ruth na watu wengine saba wamefariki dunia katika ajali ya ndege jana huko Bahamas. Katika ajali hiyo, ndege ndogo waliyokuwa wakisafiria iligonga winchi na kulipuka wakati ikiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Grand Bahama. Dk. Munroe ambaye pia alikuwa mzungumzaji maarufu wa mambo ya uongozi na...

 

10 years ago

CloudsFM

MHUBIRI WA KIMATAIFA DK MUNROE AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA NDEGE

KIONGOZI wa Bahamas Faith Ministries, Dk. Myles Munroe, mkewe Ruth na watu wengine saba wamefariki dunia katika ajali ya ndege jana huko Bahamas.
Katika ajali hiyo, ndege ndogo waliyokuwa wakisafiria iligonga winchi na kulipuka wakati ikiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Grand Bahama.

Dk. Munroe ambaye pia alikuwa mzungumzaji maarufu wa mambo ya uongozi na biashara duniani, Oktoba 21, mwaka huu alitoa somo kwa viongozi mbalimbali nchini katika mkutano wake mkubwa uliofanyika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani