AAH! DIAMOND
Musa Mateja Aah! Rais wa Wasafi Classic Baby (WCB), Nasibu Abdul ‘Diamond’, juzikati alijikuta akipigwa butwaa kufuatia kitendo cha mcheza shoo wake, Moses Iyobo ëMozeà na mzazi mwenzake, Aunt Ezekiel kuoneshana ‘mahaba nipeleke kuzimu’ hadharani, Risasi Mchanganyiko lilikuwepo kushuhudia. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1MNCcby ...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi21 Sep
Aah! Kiiza hii sasa sifa
Mshambuliaji wa Simba, Hamis Kiiza amedhihirisha ubora wake wa kuzifumania nyavu kwa kupiga ‘hat trick’ ya kwanza msimu huu na kuiongoza timu yake kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Kagera Sugar ya Bukoba kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana.
10 years ago
Mwananchi15 Mar
Ni Okwi tena.... aah! Hii sasa sifa
Ni Okwi tena... baada ya kuisulubu Yanga wiki iliyopita, mshambuliaji Emmanuel Okwi aliibuka tena shujaa jana baada ya kuipatia Simba pointi tatu muhimu dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye dakika za majeruhi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania