ACCESS BANK WATOA MSAADA WA KOMPYUTA KWA SHULE YA SEKONDARI AZANIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-rOJhCplu7Ro/U3P-ucKprcI/AAAAAAAA6Kc/cQ7nr6ssZI8/s1600/PIX+1.jpg)
Ofisa Masoko Mwandamizi Access Bank, Muganyizi Bisheko (kulia) akimkabidhi moja ya kompyuta Mkuu wa Shule ya Sekondari Azania, Mwl. Benald Ngonzie (kushoto), wanaoshuhudia makabidhiano hayo ni wanafunzi wa shule hiyo. Benki hiyo jana ilitoa msaada wa kompyuta 10 kwa shule hiyo zenye thamani ya zaidi ya Sh2 milioni. Ofisa Masoko Mwandamizi Access… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog15 May
Access Bank watoa msaada wa Kompyuta kwa shule ya sekondari Azania
![access 1](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/05/access-1.jpg)
![aces](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/05/aces.jpg)
Ofisa Masoko Mwandamizi Access Bank, Muganyizi Bisheko (kulia) akimkabidhi moja ya kompyuta kwa wanafunzi waliowawakilisha wenzao, anayeshuhudia makabidhiano hayo ni Mkuu wa...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/08/DSC_0019.jpg)
UNESCO KUPITIA READ INTERNATIONAL WATOA MSAADA WA VITABU VYA SAYANSI KWA SHULE YA SEKONDARI MWEDO ARUMERU
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-UgEsfbuI5zg/XtjWhSX1FaI/AAAAAAAAk_A/GpT1hBZG15QhKUu6Ws-7qid9grVz21zzQCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200603-WA0087.jpg)
MBUNGE MATTEMBE ATOA MSAADA WA KOMPYUTA SHULE YA SEKONDARI ILONGERO
![](https://1.bp.blogspot.com/-UgEsfbuI5zg/XtjWhSX1FaI/AAAAAAAAk_A/GpT1hBZG15QhKUu6Ws-7qid9grVz21zzQCLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200603-WA0087.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-jbYwlQaiCQc/XtjWhbcwDiI/AAAAAAAAk-8/UaDWHXgmmAcjLHHR2-mkBYcZ1bg3Wi9BQCLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200603-WA0089.jpg)
9 years ago
MichuziMFUKO WA PENSHENI WA LAPF WATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KWA SHULE YA SEKONDARI DODOMA
11 years ago
Dewji Blog11 Aug
UNESCO kupitia READ INTERNATIONAL watoa msaada wa vitabu vya Sayansi kwa shule ya sekondari MWEDO Arumeru
Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa UNESCO, Bw. Al Amin Yusuph akipolewa na Mwalimu wa Taalum na msimamizi wa Maktaba wa Shule ya wasichana ya Mwedo, Joseph Mangomes alipofika shuleni hapo kukabidhi msaada wa vitabu vya masomo ya Sayansi uliotolewa na Shirika la Read International kupitia UNESCO.
Na Mwandishi wetu, Arumeru
Wanafunzi wa shule ya Mwedo sekondari iliyopo wilayani Arumeru wamelishukuru Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) kupitia Read International la...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ltz8IQUQkiJdUjJPjpNmV*4daMWiLOCakODS8c2r8laH9OM7vK-NxDnDIoDhOeN0niywtCnj0I-PoZcCpZEhsaJPpb49CNhB/001.MTAKUJA.jpg?width=650)
SHULE YA SEKONDARI MTAKUJA YA KUNDUCHI BEACH, DAR, YAPOKEA MSAADA WA KOMPYUTA TOKA VODACOM FOUNDATION
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*67Uoec4vv0J2sAt9AoBWtKoiKAnRPSboa*SKuBGUz2Lic6gqLX5oK8DhAv52yZiGXEWpKVeFEt3cTrVLLKcu5tTHzL5lY0b/001.MTAKUJA.jpg?width=650)
WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA MTAKUJA YA JIJINI WAENDELEA KUNUFAIKA NA MRADI WA KOMPYUTA MASHULENI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bt5BWlmh0GbDhwa2eghfKLapbElRaSuAelF4kexA17QMPA4nOPLr10Mb4xsmfvbk20yoQghPFqV-3y16oQAr2Li6rkKvKcP2/001.KINYEREZI.jpg?width=650)
SHULE YA SEKONDARI KINYEREZI TABATA JIJINI DAR YANUFAIKA NA KOMPYUTA 24 KUPITIA MRADI WA VODACOM FOUNDATION
11 years ago
GPLMKUU WA BIASHARA ENDELEVU WA VODACOM AKAGUA MAENDELEO YA ELIMU YA MAFUNZO YA KOMPYUTA KATIKA SHULE YA SEKONDARI KAMBANGWA