Adhabu ya Shilole Ipo Palepale —Basata
Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) limetoa kauli kuwa adhabu ya kufungiwa kutojihusishwa na sanaa kwa mwaka mmoja ndani na nje ya nchi msanii Shilole ipo palepale, kauli ya hiyo imekuja baada ya msanii huyo kusema kuwa atakwenda kufanya shoo nchini Marekani pamoja na msanii mwenzake Ommy Dimpozi licha ya kufungiwa kwa mwaka mmoja.
Akiongea na East Afrika Radio Shilole alisema amejiandaa vizuri sana katika shoo ambayo anapaswa kuifanya nchini Marekani siku za karibuni, na alipoulizwa...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo508 Sep
BASATA ladai adhabu kwa Shilole ipo pale pale, yadai inakusanya ushahidi kumtwanga nyundo nyingine
9 years ago
VijimamboBASATA YADAI ADHABU KWA SHILOLE IPO PALE PALE, YASEMA INAKUSANYA USHAHIDI KUMTWANGA NYUNDO NYINGINE
Katibu Mtendaji wa baraza la sanaa la taifa, BASATA, Geofrey Mngereza ameiambia Radio 5 ya Arusha kuwa adhabu aliyopewa Shilole ya kufungiwa kutojihusisha kwenye masuala ya sanaa kwa mwaka mmoja haijafutwa.Mngereza alidai kuwa adhabu iliyotolewa kwa Shilole imetokana na sheria na kanuni zilizotokana na bunge na kwamba kwa sasa wanakusanya ushahidi ili kuchukua...
9 years ago
Bongo Movies31 Aug
Shilole Akaidi Adhabu ya Basata
Msanii Zuwena Mohamed alimaarufu kama Shilole amekaidi adhabu aliyopewa na Baraza la Sanaa Tanzania (Basata) iliyomtaka kutoshiriki masuala ya sanaa ndani na nje ya nchi kwa mwaka mzima.
Shilole amekaidi adhabu hiyo baada ya kuonekana akifanya show katika kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) akimnadi Mgombea nafasi ya urais wa chama hicho Dk. John Magufuli wakati wapo jijini Mbeya siku kadha zilizopita.
Kipindi cha Planet Bongo kilitaka kufahamu endapo adhabu ya msanii huyo imefutwa, na...
10 years ago
Habarileo28 Mar
Kura ya maoni ipo palepale, yasema NEC
TUME ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) imesisitiza kwamba tarehe ya kufanyika kwa kura ya maoni kuhusu Katiba Inayopendekezwa ipo pale pale na hakuna mabadiliko yoyote kama inavyonukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/y*wDQ4ub4Blt3Tfbcl6K6SgJDiins7xNjF2Z4bTVX6JVSQ6EI2qm6GmhhSq0H7tDEA5b0tU6bdOqBXr7WXjxfQIuBO9mv6Xt/wema3.jpg?width=650)
WEMA: HATA NIKIZEEKA NYOTA IPO PALEPALE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*k9pHGBCHsmczMVeBhexX3lUax*VzJjAKNw3P9diig6ccTyQYDC9aj1XT3gMcI9mH3*qF8c1V1g9D99AeLQpwPT4mHiMuHLJ/IssabelaMpanda.jpg)
ISABELA ACHEKELEA ADHABU YA SHILOLE
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-8xWXgexOWAc/VTujhrWgaxI/AAAAAAAHTOc/WJDt25q5tTM/s72-c/Untitled%2C.png)
KUSIMAMISHWA KWA SHINDANO LA UREMBO LA MISS TANZANIA KWA MISIMU MIWILI KUKO PALEPALE - BASATA
![](http://2.bp.blogspot.com/-8xWXgexOWAc/VTujhrWgaxI/AAAAAAAHTOc/WJDt25q5tTM/s1600/Untitled%2C.png)
Taarifa hizo za kufunguliwa shindano hilo zilienda mbali kwa kueleza kwamba mawakala wametumiwa kalenda ya mashindano...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-8xWXgexOWAc/VTujhrWgaxI/AAAAAAAHTOc/WJDt25q5tTM/s72-c/Untitled%2C.png)
BASATA - KUSIMAMISHWA KWA SHINDANO LA UREMBO LA MISS TANZANIA KWA MISIMU MIWILI KUKO PALEPALE
![](http://2.bp.blogspot.com/-8xWXgexOWAc/VTujhrWgaxI/AAAAAAAHTOc/WJDt25q5tTM/s1600/Untitled%2C.png)
Taarifa hizo za kufunguliwa shindano hilo zilienda mbali kwa kueleza kwamba mawakala wametumiwa kalenda ya mashindano...
10 years ago
Bongo Movies31 Jul
Shilole Afunguka Baada ya Kufungiwa na BASATA
Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) limemfungia Shilole kutojihusisha na kazi yoyote ya sanaa kwa muda wa mwaka mmoja.
Barua kutoka BASATA inasema hivi:
“Tarehe 9 May 2015 ukiwa katika onyesho lako la muziki Ubelgiji ulicheza uchi mbele ya hadhira ya wapenda sanaa za Tanzania hivyo kudhalilisha utu wako na jamii ya kitanzania kimaadili‘
‘BASATA ilipata habari zako, kumbuka pia October 2013 BASATA lilikuonya na ukakiri kwa kuomba msamaha tabia yako ya kucheza bila kuzingatia maadili uwapo...