Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WEMA: HATA NIKIZEEKA NYOTA IPO PALEPALE

Mtoto mzuri Bongo, Wema Isaac Sepetu. Imelda Mtema Nyota na ing’ae! Mtoto mzuri Bongo, Wema Isaac Sepetu ameliambia Ijumaa Wikienda kuwa hata kama akizeeka na kuwa kikongwe, bado nyota yake itaendelea kung’aa siku zote wala haitafifia kwani amezaliwa nayo labda asiwepo duniani. Wema ameliambia gazeti hili kuwa anamshukuru Mungu kwa kumjalia nyota hiyo ambayo inawezekana kuna watu wanatamani izimike wakati wowote, jambo ambalo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Adhabu ya Shilole Ipo Palepale —Basata

Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) limetoa kauli kuwa adhabu ya kufungiwa kutojihusishwa na sanaa kwa mwaka mmoja ndani na nje ya nchi msanii Shilole ipo palepale, kauli ya hiyo imekuja baada ya msanii huyo kusema kuwa atakwenda kufanya shoo nchini Marekani pamoja na msanii mwenzake Ommy Dimpozi licha ya kufungiwa kwa mwaka mmoja.

Akiongea na East Afrika Radio Shilole alisema amejiandaa vizuri sana katika shoo ambayo anapaswa kuifanya nchini Marekani siku za karibuni, na alipoulizwa...

 

10 years ago

Habarileo

Kura ya maoni ipo palepale, yasema NEC

TUME ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) imesisitiza kwamba tarehe ya kufanyika kwa kura ya maoni kuhusu Katiba Inayopendekezwa ipo pale pale na hakuna mabadiliko yoyote kama inavyonukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari.

 

9 years ago

Bongo5

Nyota Ndogo: Unaweza kutunga nyimbo ukailia hela hata miaka 20

Kuna wasanii wengi ambao mpaka leo wanaendelea kunufaika kupitia kazi zao ambazo walizifanya miaka mingi iliyopita. Na kuna wengine ambao walitangulia mbele za haki lakini ndugu zao bado wanaendelea kufaidi matunda ya kazi zao. Msanii wa Kenya, Nyota Ndogo amesimulia jinsi hit song yake ‘Watu Na Viatu’ inavyoendelea kumpa maisha hadi sasa licha ya kuwa […]

 

10 years ago

GPL

WEMA; HATA MIMI NINGEKUWA AUNT EZEKIEL NINGEGOMBANA NA WEWE

Staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu.
Oscar ndauka
LICHA ya kupatana, habari ya mjini kwa sasa ni ugomvi mkali, wenye visa  vya kushangaza kati ya mastaa wawili wa sinema za Bongo, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel.Hii ‘kapo’ siku za karibuni, ilikuwa nzuri kwa maana ya urafiki wao mkubwa.Urafiki wa Wema na Aunt ulianza pale Wema alipoutengua urafiki wake na staa mwingine wa fani hiyo, Kajala Masanja. Wema Sepetu...

 

9 years ago

Mwananchi

Nikizeeka

Mshairi naja leo, ila moyo una shaka, Vipi ikipita leo, uzee ukinifika, Nitaishi kama leo, mwezenu nina mashaka, Pindi nitakapo zeeka sijui itakuwaje.

 

11 years ago

Bongo Movies

Hizi ndio salamu za birthday alizopata Jokate leo. Ipo ya Wema sepetu, flaviana matata na wengine wengi.

Leo ni siku ya kuzaliwa kwa mwanadada Jokate Mwegelo. Pamoja na salamu nyingi sana za pongezi toka kwa mashabiki wake mastaa hawa hapa chini nao hawakusita kumtakia mwanadada huyu kila la kheri katika siku yake hii.

Flaviana matata : Happy Birthday Jojo @jokatem many happy returns of the day kipenzi.

Elizabeth Michael : Happy birthday beautiful @jokatem have a good one mama...!i love u n u know that

Wema Sepetu:  Awwwwww aint she jus adorable...... And she grew into it pretty well......

 

10 years ago

Vijimambo

MFAHAMU KWA UNDANI ZARINAH MWANAMKE ANAYEZIMA NYOTA YA WEMA SEPETU

Zari alisema umaarufu unamtafuta yeye na sio kwamba yeye anautafutaJINA la Zari hivi sasa limekuwa jina maarufu katika masikio ya Watanzania, Afrika Mashariki na kwingineko hasa baada ya mwanadada huyo mfanyabiashara na mwanamuziki wa Uganda kuwa na urafiki na Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nassib Abdul maarufu kwa jina la usanii Diamond Platnum. Zari The Lady Boss

Kwenye mitandao ya kijamii kama Tweeter, Facebook,Instagram na hata Whatsapp lazima utakutana na jina Zari akiunganishwa na Diamond...

 

10 years ago

Bongo Movies

DUNIANI WAWILI WAWILI:Huyu Hapa Hana Hata Undugu na Wema Sepetu

Ule usemi wa duniani  watu wawili wawili umedhiiika kwa muigizaji wa bongo movies,Wema Sepetu.Je hii ni kweli?.Hebu kutana na huyu mwanadada anaetumiajina la TUERNY kwenye mtandao wa INSTAGRAM.Kizuri zaidi wema mwenye anamfahamu hii nikutokana na moja kati ya marafiki wa Wema Ku-comment kwenye picha ya dada huyu akidai kuwa dada huyu anafanana na Wema na dadae Wema Ku-reply kwa kuonyesha kuwa anamfahamu na anamuita mke mweza.....Hebuzicheki picha zake hizi na kisha useme kama kunaumuhimu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani