Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MFAHAMU KWA UNDANI ZARINAH MWANAMKE ANAYEZIMA NYOTA YA WEMA SEPETU

Zari alisema umaarufu unamtafuta yeye na sio kwamba yeye anautafutaJINA la Zari hivi sasa limekuwa jina maarufu katika masikio ya Watanzania, Afrika Mashariki na kwingineko hasa baada ya mwanadada huyo mfanyabiashara na mwanamuziki wa Uganda kuwa na urafiki na Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nassib Abdul maarufu kwa jina la usanii Diamond Platnum. Zari The Lady Boss

Kwenye mitandao ya kijamii kama Tweeter, Facebook,Instagram na hata Whatsapp lazima utakutana na jina Zari akiunganishwa na Diamond...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Mfahamu kwa undani zaidi mwanadada ZARI wa Uganda aliyetibua penzi la WEMA na Diamond. Ni tajiri balaaa!

INA Zari hivi sasa limekuwa jina maarufu katika masikio ya Watanzania, Afrika Mashariki na kwingineko hasa baada ya mwanadada huyo mfanyabiashara na mwanamuziki wa Uganda kuwa na urafiki na Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nassib Abdul maarufu kwa jina la usanii Diamond Platnum.

Kwenye mitandao ya kijamii kama Tweeter, Facebook, Instagram na hata Whatsapp lazima utakutana na jina Zari akiunganishwa na Diamond na wengine wataunganisha na Wema Sepetu aliyewahi kuwa mpenzi wa Diamond.

Uhusiano...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mfahamu kwa Undani Muigizaji ‘ODAMA’

Anaitwa Jennifer Kyaka, ila wengi wamezoea kumuita ODAMA, jina ambalo liliibuka kwenye movie ya Odama aliyoigiza, ambapo yeye alicheza kama mhusika mkuu. Alizaliwa mnamo mwaka 1983 jijini Mwanza katika Hospital ya Bugando.

Safari yake ya sanaa ilianza mnamo mwaka 2006, na movie yake ya kwanza kuigiza ilikuwa inaitwa SHUMILETA, Movie iliyoandaliwa na producer na director maarufu nchini, Mussa Banzi, watu wengi walianza kumfahamu kwenye movie hiyo ya kutisha aliyocheza kama Monte.

Movie ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Mjue kwa undani Maya Dela Rosa nyota wa uigizaji

Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu, leo hatutakuwa na masimulizi ya Tamthiliya ya Be Careful With My Heart. Badala yake tutangalia wasifu wa mhusika mkuu katika tamthiliya hiyo, Jodi Santamaria ambaye anafahamika kama Maya dela Rosa.

 

10 years ago

Bongo Movies

Patcho Mwamba: Hakuna Staa wa Kike Ana Nyota Kama ya Wema Sepetu, Ila Dhambi Yake ni Moja...

Staa wa Bongo movies na mwanamziki wa Fm Academia Patcho Mwamba funguka kuwa staa mwennzake wa bongo movies, Wema Sepetu ana nyota kali zaidi ya mastaa wote wa kike wa hapa Bongo, Pacho ameyasema hayo akiwa anajibu swali aliloulizwa kwenye mahojiano maalumu na Bestizzo "Je unahisi Wema halitendei haki jina lake au kuna sehemu anakosea?"

''Kwanza tuseme ukweli wa Mungu hamna staa wa kike ana nyota kama ya Wema Sepetu, ni star ni star ni star ni star sana upande wa wanawake wote ndani ya bongo...

 

9 years ago

Mtanzania

Wema Sepetu na zawadi kutoka kwa Dimpoz

Wema DimpozMANENO aliyoandika mrembo wa Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu katika mtandao wake wa Instagram baada ya kupewa zawadi ya simu na msanii mwenzake, Ommy Dimpoz: “Akhsante bwana Omary Nyembo a.k.a Dimpoz kwa poz kwa zawadi ya simu toka US japo imenitoa ushamba hahahahahaha!”

 

9 years ago

Bongo5

Kadinda ataja mipango mipya kwa Wema Sepetu

wemaa na kadinda

Meneja Wema Sepetu, Martin Kadinda amesema mpango alionao ni kumtoa mwanadada huyo katika drama na kumfanya awe mfanyabiashara mkubwa mwaka 2016.

wemaa na kadinda

Kadinda ambaye pia ni mbunifu wa mavazi, ameiambia Bongo5 kama Wema akiweza kubadilika na kuacha drama, atakuwa na mafanikio makubwa.

“Wema is a business woman, kitu ambacho nitakifanya ni kuhakikisha anasimama kama mfanyabiashara,” alisema.

“Kuna kipindi tulikuwa tayari tumeondoka kwenye drama na mimi nikasimama na kazi zangu nyingine akarudi...

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Wema Sepetu Atoa Baraka kwa tumbo la Aunty!

Mrembo na mwigizaji wa filamu mwenye wafuasi wengi zaidi kwenye mitandao ya kijamii hapa Bongo, Wema Sepetu  ame-share nasi picha kadhaa akiwa na rafiki yake kipenzi, mwigizaji  Aunty  Ezekiel ambae kwa sasa ni mjamzito na karibu kujifungua.

Kwenye picha hizi Wema anaonekana akiwa amelishuka tumbo la Aunty kitendo ambacho kinaashilia kuwa mwanadada huyo alikuwa akitoa baraka zake kwa kiumbe kilichomo ndani mbali na ujumba ambao Wema aliutupia kuonyesha kuwa yeye na aunty ni marafiki  wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani