Advans kuwakwamua wafanyabiashara
Wafanyabiashara wadogo wametakiwa kuchangamkia fursa za mikopo zinazotolewa na benki kwa ajili ya kukuza mitaji yao ili waweze kushiriki kikamilifu katika harakati za kujikwamua kiuchumi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
TheCitizen01 May
Advans Bank targets to serve SMEs
9 years ago
TheCitizen17 Nov
Faidika Tanzania buys into Advans Bank
9 years ago
Dewji Blog17 Nov
Kampuni ya LETSHEGO/Faidika yapata asilimia 75 ya hisa katika benki ya Advans Tanzania!
Mtendaji Mkuu wa Afrika Mashariki wa kampuni ya Letshego, Bwana Tom Kocsis akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa utambulisho mpya wa kununua hisa asilimia 75 za benki ya Advans Tanzania. wengine ni maafisa waandamizi wa kampuni hiyo (Picha zote na Andrew Chale)
Na Andrew Chale, Modewjiblog
[DAR ES SALAAM-TANZANIA] Kampuni ya LETSHEGO Holding Limited yenye makao yake makuu nchini Botswana ambayo kwa Tanzania ikijulikana kama taasisi ya Mikopo ya Faidika, imetangaz...