Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AFCON: Nooij asema Ubingwa kwa Ivory Coast, Senegal

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa Tanzania ‘Taifa Stars’, Mart Nooij amezitaja Senegal na Ivory Coast kuwa ni timu zenye nafasi kubwa ya kutwaa taji la Mataifa Afrika (Afcon), zilizoanza kutimua vumbi juzi, Equatorial Guinea

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Ivory Coast yatwaa ubingwa kombe la AFCON 2015 kwa kuichapa Ghana 9-8

0f746cc1-2dc6-49fb-a44f-c7adb6a14c7f-2060x1236

Ivory Coast v Ghana Photograph: Khaled Desouki/AFP/Getty Images

And Barry scores!!!!! IVORY COAST ARE 2015 AFRICA CUP OF NATIONS CHAMPIONS.

What an amazing way to finish it. They could not be separated after 90 minutes. They could not be separated after an additional 30. The regular five penalties could not separate them either and it went all the way to the goalkeepers in sudden death. Braimah had his saved by Barry, who then stepped up to score the deciding kick.

Congratulations to Ivory...

 

10 years ago

GPL

IVORY COAST BINGWA AFCON 2015

Mabingwa wapya wa Kombe la Mataifa Afrika 2015, Ivory Coast wakipozi na kombe leo. Straika wa Manchester City, Wilfried Bony akiwa amembeba shujaa wa Ivory Coast Boubacar Barry (katikati), aliyefunga penalti ya mwisho.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Ivory Coast yatinga fainali za Afcon

Ivory Coast wamefuzu kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika, Afcon baada ya kuilaza Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo 3-1

 

10 years ago

BBCSwahili

Afcon:Ivory Coast yawang'oa Algeria 3-1

Timu ya Ivory Coast imewatoa Algeria katika michuano ya Afcon kwa kuwachapa mabao 3-1

 

10 years ago

StarTV

Ivory Coast yatwaa ubingwa wa Afrika

vory Coast wamekuwa mabingwa wapya wa Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2015 baada ya kufuinga Ghana kwa penalti 9 – 8 katika mchezo wa fainali ulichezwa katika uwanja wa Estadio de Bata huko Equatorial Guinea.

cialis nitrato

Mlinda Mlango wa Ivory Coast Boubacar Barry ambaye alikuwa hapangwi mara kwa mara lakini ndiye aliyeibeba Ivory Coast baada ya kudaka penati na kufunga penalti ya mwisho

 

10 years ago

BBCSwahili

AFCON nusu fainali ni Congo na Ivory Coast

Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON, inaendelea leo hatua ya nusu fainali kwa Ivory Coast kupambana na DR Congo.

 

10 years ago

Mwananchi

AFCON: Ivory Coast wafalme wa Afrika 2015

>Ivory Coast imefanikiwa kutwaa ubingwa wa fainali za Mataifa ya Afrika 2015, katika mchezo wa kihistoria wa mikwaju ya penalti 9-8.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ivory coast wagomea bajeti ya serikali —afcon

Shirikisho la soka Ivory Coast (FIF) limegomea bajeti ya Serikali kwenye Kombe la Mataifa ya Afrika kwa sababu ni ndogo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani