Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL,afanya ziara mikoa ya kusini na Nyanda za juu kusini
![](http://2.bp.blogspot.com/-VQMqV2ZZ0IQ/VOHYjgumF2I/AAAAAAAHD88/xq8B_W50FyM/s72-c/1%2B(1).jpg)
Afisa Mtendaji Mkuu Dr Kamugisha Kazaura atembelea mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma na Mbeya ikiwa na lengo la kukagua miundombinu ya TTCL na Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano pamoja na kuzungumza na wafanyakazi wa TTCL wa mikoa hiyo.
Dr Kazaura ailijionea juhudi mbalimbali zinazofanywa na wafanyakazi wa TTCL katika kuhakikisha miundombinu ya TTCL na Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano inakuwa salama muda.
Hivi sasa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) imekuwa kampuni pekee ya mawasiliano ambayo imefanikiwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-9Dpcenwt5Ug/VXE-eTVTs_I/AAAAAAAAUgU/QpvHtQqxbuE/s72-c/hamjamboo1.jpg)
DKT. SLAA, AENDELEA NA ZIARA YA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI, APIGA DEBE WANANCHI KUJIANDIKISHA TAYARI KWA UCHAGUZI MKUU
![](http://3.bp.blogspot.com/-9Dpcenwt5Ug/VXE-eTVTs_I/AAAAAAAAUgU/QpvHtQqxbuE/s640/hamjamboo1.jpg)
10 years ago
Michuzi24 Feb
TAMWA YATOA MAFUNZO KWA WANAHABARI WA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI JUU YA KUPAMBANA NA UNYANYASAJI WA KIJINSIA
Na Fredy Mgunda, Iringa
Waandishi wa habari wametakiwa kuandika zaidi habari zinazohusu unyanyasaji wa kijinsia hususan dhidi ya wanawake na watoto ili kuiamsha zaidi jamii inayowafanyiwa vitendo hivyo na mamlaka husika ziweze kuchukua hatua za kisheria dhidi ya vitendo hivyo.Msisitizo huo...
10 years ago
Habarileo30 May
Dk Slaa kuanza ziara Nyanda za Juu Kusini
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willibrod Slaa, anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi katika maeneo mbalimbali ya mikoa ya Mbeya, Rukwa na Katavi, ambako atakagua mwenendo wa uandikishaji wa wapiga kura unaofanyika kwa mfumo wa Biometric Voters Registration (BVR).
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-_28TL01bzOs/U9z69vvoL8I/AAAAAAAAFxo/NFJ630ipwwI/s72-c/IMG_2748.jpg)
WAZIRI MKUU MHE. MIZENGO PINDA ATEMBELEA BANDA LA HALMASHAURI YA WILAYA YA SUMBAWANGA KATIKA MAADHIMISHO YA NANENANE NYANDA ZA JUU KUSINI JIJINI MBEYA LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-_28TL01bzOs/U9z69vvoL8I/AAAAAAAAFxo/NFJ630ipwwI/s1600/IMG_2748.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-mRiQz5h_BEg/U9z7Ok1KlDI/AAAAAAAAFxw/IjrM4Txz8IA/s1600/IMG_2740.jpg)
11 years ago
Habarileo30 May
Nyanda za Juu Kusini wahimizwa kutahiri
WAKATI mikoa mitatu ya Nyanda za Juu Kusini ikiongoza kwa maambukizi ya Ukimwi, Serikali imewahimiza wanaume, bila kujali umri, kutahiriwa kama moja ya njia za kupunguza maambukizi ya ugonjwa huo usio na kinga wala tiba.
9 years ago
Mwananchi04 Sep
Siri ya CCM, Ukawa Nyanda za Juu Kusini
11 years ago
Tanzania Daima29 Jun
Maureen Redd’s Miss Nyanda za Juu Kusini
MREMBO Maureen Godfrey kutoka Mkoa mpya wa Njombe, juzi usiku alivishwa taji la kuwa Redd’s Miss Nyanda za Juu Kusini na kujinyakulia kitita cha sh. milioni 1 baada ya kuwabwaga...
9 years ago
Habarileo16 Oct
Nyanda za Juu Kusini kuwa kitovu cha maziwa
SERIKALI imeahidi kuifanya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kuwa kitovu cha uzalishaji maziwa kwa kuwa ina mazingira yanayofaa kwa uzalishaji na ufugaji wa ng’ombe wa maziwa.
9 years ago
StarTV05 Oct
Mhamasishaji wa UKAWA Nyanda za juu Kusini afariki dunia
Mhamasishaji wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kupitia Ukawa Kanda ya Nyanda za Juu kusini Erasmo Nyindi amefariki dunia kwenye ajali katika Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma akiwa katika ziara ya kazi .
Mtendaji Mkuu wa Kampeni za Ukawa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Rajabu Kaluwa amesema ajali hiyo ilisababishwa na watu walioshika tochi nyakati za usiku wakiwa na silaha kutaka kuteka nyara msafara wa Mgombea Ubunge katika Jimbo la Nyasa Cathbet Saule almaarufu kwa jina la Ngwata...