Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mhamasishaji wa UKAWA Nyanda za juu Kusini afariki dunia

Mhamasishaji wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kupitia Ukawa Kanda ya Nyanda za Juu kusini Erasmo Nyindi amefariki dunia kwenye ajali katika Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma akiwa katika ziara ya kazi .

Mtendaji Mkuu wa Kampeni za Ukawa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Rajabu Kaluwa amesema ajali hiyo ilisababishwa na watu walioshika tochi nyakati za usiku wakiwa na silaha kutaka kuteka nyara msafara wa Mgombea Ubunge katika Jimbo la Nyasa Cathbet Saule almaarufu kwa jina la Ngwata...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Siri ya CCM, Ukawa Nyanda za Juu Kusini

Mikoa ya Rukwa, Katavi, Iringa, Mbeya na Njombe imekuwa kimbilio la Taifa wakati wa njaa, lakini wanasiasa wana sababu nyingine ya kuwahishia kampeni zao Nyanda za Juu Kusini ambako kuna kura takriban milioni 3.92.

 

10 years ago

Michuzi

Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL,afanya ziara mikoa ya kusini na Nyanda za juu kusini

Afisa Mtendaji Mkuu Dr Kamugisha Kazaura atembelea mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma na Mbeya ikiwa na lengo la kukagua miundombinu ya TTCL na Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano pamoja na kuzungumza na wafanyakazi wa TTCL wa mikoa hiyo.
Dr Kazaura ailijionea juhudi mbalimbali zinazofanywa na wafanyakazi wa TTCL katika kuhakikisha miundombinu ya TTCL na Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano inakuwa salama muda.
Hivi sasa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) imekuwa kampuni pekee ya mawasiliano ambayo imefanikiwa...

 

10 years ago

Michuzi

TAMWA YATOA MAFUNZO KWA WANAHABARI WA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI JUU YA KUPAMBANA NA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

 MWANAHABARI MKONGWE WENCE  MUSHI AKITOA ELIMU KWA WANAHABARI WALIOKUTANA MKOANI IRINGA WANAHABARI WAKIWA MAKINI KUMSIKILIZA MTOA ELIMUWANAHABARI WAKIFUATILIA NINI KINACHOENDELEA KWENYE MAFUNZO HAYO
 Na Fredy Mgunda, Iringa

Waandishi wa habari wametakiwa kuandika zaidi habari zinazohusu unyanyasaji wa kijinsia hususan dhidi ya wanawake na watoto ili kuiamsha zaidi jamii inayowafanyiwa vitendo hivyo na mamlaka husika ziweze kuchukua hatua za kisheria dhidi ya vitendo hivyo.Msisitizo huo...

 

11 years ago

Habarileo

Nyanda za Juu Kusini wahimizwa kutahiri

WAKATI mikoa mitatu ya Nyanda za Juu Kusini ikiongoza kwa maambukizi ya Ukimwi, Serikali imewahimiza wanaume, bila kujali umri, kutahiriwa kama moja ya njia za kupunguza maambukizi ya ugonjwa huo usio na kinga wala tiba.

 

10 years ago

Habarileo

Dk Slaa kuanza ziara Nyanda za Juu Kusini

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Wilibroad Slaa.KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willibrod Slaa, anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi katika maeneo mbalimbali ya mikoa ya Mbeya, Rukwa na Katavi, ambako atakagua mwenendo wa uandikishaji wa wapiga kura unaofanyika kwa mfumo wa Biometric Voters Registration (BVR).

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maureen Redd’s Miss Nyanda za Juu Kusini

MREMBO Maureen Godfrey kutoka Mkoa mpya wa Njombe, juzi usiku alivishwa taji la kuwa Redd’s Miss Nyanda za Juu Kusini na kujinyakulia kitita cha sh. milioni 1 baada ya kuwabwaga...

 

10 years ago

Michuzi

Waandishi wa habari nyanda za juu kusini wanolewa juu ya habari za uchaguzi

Washiriki wakifuatilia mafunzo hayo Mwanahabari Gordon Kalulunga akichangia mada Mwanahabari Michael Katona akiwasilisha kazi waliyopewa kwa niaba ya kundi lake Mafunzo kwa vitendo yakiendeleaWaandishi wa habari wa kanda ya nyanda za juu Kusini wamepatiwa mafunzo ya nanma ya kuandika na kutangaza habari za uchaguzi ili waweze kutumia taaluma yao iifikie jamii
Semina hiyo inaendeshwa kwa pamoja na shirika la utangazaji la Uingereza BBC na baraza la habari Tanzania MTC.(Picha na Edwin Moshi wa...

 

9 years ago

Habarileo

Nyanda za Juu Kusini kuwa kitovu cha maziwa

SERIKALI imeahidi kuifanya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kuwa kitovu cha uzalishaji maziwa kwa kuwa ina mazingira yanayofaa kwa uzalishaji na ufugaji wa ng’ombe wa maziwa.

 

10 years ago

Michuzi

Kituo cha Kuendeleza Misitu Kujengwa Tanzania katika Nyanda za Juu Kusini

Warsha ya wataalam wa misitu imeazimia kuwa kitajengwa Kituo cha Kuendeleza Misitu katika Nyanda za Juu Kusini ili kutoa mafunzo ya ngazi ya VETA kuhusu uendelezaji wa mashamba na viwanda vya  misitu. Kituo hicho kitatoa mafunzo ya darasani pamoja na nje ya darasa kwenye misitu na viwanda. 
Azimio hilo linasisitiza zaidi kuwa Wizara ya Maliasili na Utalii, kupitia Programu ya Panda Miti Kibiashara, itahakikisha kuuundwa kwa Ushirikiano kati ya Serikali na Sekta Binafsi (PPP) kwa manufaa ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani